Ukikutana na gari yenye Engine hii, usisogeze pua yako!

Hahahah kuna Nissan CIMA hii nayo ni V8.

Ila wamezalisha hybrid yake sasa!

Instead of a V8 engine, the new Cima is now a hybrid sedan equipped with the 3.5L V6 hybrid VQ engine with maximum power of 225 kW (302 hp; 306 PS) at 6800 rpm and maximum torque of 350 N⋅m (258 lbf⋅ft) at 5000 rpm) with an advanced 'HM34' electric motor with maximum power output of 50 kW (67 hp; 68 PS) and maximum
VQ35 kwangu naona ndo iko mukideee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CIMA naisoma sana hio mpwa,nilishawahi kuuliza humu jf mwenye experience nayo esp. Model ya 2004 naona watu walikua hawaijui,nilikua nafanya comparison ya CIMA VS CELSIOR(Toyota)

dodge
 
Wakati wenzetu wanapigania punguzo la matumizi ya mafuta na kujikita kwenye Umeme sisi ndio kwanza tunashabikia mbio na ulaji wa mafuta
Don’t get me wrong kuwa wapo wenye uwezo so what? Ila duniani sasa hivi mbio za magari zinapungua sana kwa ajili ya ajali unakuta miji mikubwa duniani kila barabara ni cctv mpaka kero na speed limit ni ndogo sana
Kama unataka speed nashauri autobahn ya German hiyo hata uende speed 400 ni sawa tu
Ila kama una mapenzi nayo sawa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
CIMA naisoma sana hio mpwa,nilishawahi kuuliza humu jf mwenye experience nayo esp. Model ya 2004 naona watu walikua hawaijui.

dodge
CIMA ya 2004 ni hybrid! Ni V6 ya zamani ndio V8 Hahahaha habari nyingine!
 
Wasubiri kwanza mkuu sisi tuenjoy,Internal combustion engines zina mzuka wake mjomba hayo mambo ya TESLA watuvumilie kidogo.
Wakati wenzetu wanapigania punguzo la matumizi ya mafuta na kujikita kwenye Umeme sisi ndio kwanza tunashabikia mbio na ulaji wa mafuta
Don’t get me wrong kuwa wapo wenye uwezo so what? Ila duniani sasa hivi mbio za magari zinapungua sana kwa ajili ya ajali unakuta miji mikubwa duniani kila barabara ni cctv mpaka kero na speed limit ni ndogo sana
Kama unataka speed nashauri autobahn ya German hiyo hata uende speed 400 ni sawa tu
Ila kama una mapenzi nayo sawa

Sent from my iPhone using Tapatalk

dodge
 
Wasubiri kwanza mkuu sisi tuenjoy,Internal combustion engines zina mzuka wake mjomba hayo mambo ya TESLA watuvumilie kidogo.

dodge

Nikiwa kijana nilikuwa napenda sana mashindano na sports cars ndio ilikuwa hobby yangu yaani nikitoka kazi lazima nikashindane tu
Huyu mshenzi Charger alikuwa ananitoa raha zote kila nikikutana nae ili nilimpatia somo yake
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wazee wa Muscle cars,sasa cheki utamu wa hio machine halafu uje uendeshe electric car,daah.
Nikiwa kijana nilikuwa napenda sana mashindano na sports cars ndio ilikuwa hobby yangu yaani nikitoka kazi lazima nikashindane tu
Huyu mshenzi Charger alikuwa ananitoa raha zote kila nikikutana nae ili nilimpatia somo yake View attachment 1326722

Sent from my iPhone using Tapatalk

dodge
 
Hahah kweli mkuu,kuna machine ina engine ya hemi SRT-8 nailiaga timing tu na huu ushuru wa TRA huku bongo.

dodge

That’s 6.4 l sio mchezo
Hapo jiandae Ushuru tu sijui watatoza ngapi?
Wow I love muscle cars

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wenye vi passo na sienta tunaruhusiwa kuchangia?
VQ30 (DET) Sio engine ya kitoto!
Hii ni Engine iliyofungwa kwenye baadhi ya gari za Nissan kama vile Nissan Cedric...
Ina ukubwa wa engine wa 3,000cc, V6 ikiwa pamoja na Turbo, huku ikitumia Petrol.
Hii engine si ya kitoto, gari yenye engine hii inachomoka kama unyoya...
Usije sijui na kibebi walker chako ukataka kuleta competition. Utaaibika brother... Kaa mbali na engine hii...

View attachment 1140854

View attachment 1140859

Jr
 
Gari yenyewe Nissan hapo nikiwa na gari ya CC 2400-2500 kama siyo dereva jasiri nakutoa nishai mapema tu
 
VQ30 (DET) Sio engine ya kitoto!
Hii ni Engine iliyofungwa kwenye baadhi ya gari za Nissan kama vile Nissan Cedric...
Ina ukubwa wa engine wa 3,000cc, V6 ikiwa pamoja na Turbo, huku ikitumia Petrol.
Hii engine si ya kitoto, gari yenye engine hii inachomoka kama unyoya...
Usije sijui na kibebi walker chako ukataka kuleta competition. Utaaibika brother... Kaa mbali na engine hii...

View attachment 1140854

View attachment 1140859
Duhu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom