Ukikubali mkopo wa mchina, umekuwa koloni lake

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
365
452
BIG UP kwa serikali ya JPM kwa kufuta mkataba wa bandari ya bwagamoyo, reli ya kati kwa sababu hatujui ktk ile mikataba kama kulikuwa na option ya equity ama kubadili deni na kulifanya kuwa mmiliki. Ndicho kilichotokea kwa nchi ya sri lanka, wachina walitoa mkopo wa interest kubwa na baadae kubadili hilo deni kwa kulifuta na kuwa wamiliki halali wa bandari ya sri lanka.


China Tells India To Stay Off Its Indian Ocean 'Colony,' Sri Lanka

China tells India to stay off its Indian Ocean colony, Sri Lanka: Report

China tells India to stay off its Indian Ocean colony, Sri Lanka

Sri Lanka’s "colonization" began back in 2007, when China supplied President Rajapaksaboth military and diplomatic support to crush the Tamil Tigers. Then came high profile construction projects and high interest loans that eventually were swapped for equity, transforming China into an owner of Sri Lanka’s major port— and a key outpost in the Indian Ocean for Beijing.
 

Attachments

  • upload_2017-2-16_14-52-19.png
    upload_2017-2-16_14-52-19.png
    265 bytes · Views: 26
Nchi hii shida kwakweli, ndiyo maana kuna mtu mzima alilia hadharani yawezekana kuna mengi hatuyajui
 
Back
Top Bottom