Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Mkuu upo sahihi kabisa cha Ajabu MI natoaga yooote Maana Hua natengeneza mazingira ya kukuamini ili kujenga urafikiMimi nikikopesha hela huwa naangalia ziada inayobaki,, naangalia pia Kama nitaweza survive incase isiporudi.
Na usiponirudishia Deni la awali ukaja kukopa Tena sikupi
Shida ya watu wakopaji hawawi wazi,Ni Bora uombe kuliko unakopa Hali ukijua hutalipa
Asilimia ya mtu kulipa Deni Ni ndogo Sana..Kama una roho ya huruma Basi kopesha lakini akilini ujue tu kuwa umetoka sadaka .kama sio mtu was huruma Sana Ni vema tu usikopeshe maana utaishia kupoteza vyote hela yako na urafiki(undugu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ilishawahi kunicost hiyo..hela yangu yote nikamuazima mtu halafu hajanilipa,,Mkuu upo sahihi kabisa cha Ajabu MI natoaga yooote Maana Hua natengeneza mazingira ya kukuamini ili kujenga urafiki
Cha Ajabu mtu akishachukua anafurahia Sana Ile siku.. Sasa ukorofi unakuja wakati wa kulipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kokopesha no kipaji mku haiwezekani mtu unakopwa hakulipi baada ya miezi 7 ama 8 anajisahaulisha Kua alikuzima pesa siku za nyuma anakuja omba tena umkopeshe.. Dah ubinadamu kazi kweli kweliMimi ilishawahi kunicost hiyo..hela yangu yote nikamuazima mtu halafu hajanilipa,,
Hapo nilijifunza Kama kila kitu kina kiasi...nikajifunza kuwa na kiasi..
Nikawa na kiasi,napokukopesha naangalia kabisa na Mimi sitabaki katika mazingira magumu
Na nisivyojua kudai,Nina huruma kupita kiasi
Ko hata mtu asipolipa Basi natoa tu sadaka..ila ndo asije Tena kukopa kwangu
Wengi huwa wanaogopa kuja kukopa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kokopesha no kipaji mku haiwezekani mtu unakopwa hakulipi baada ya miezi 7 ama 8 anajisahaulisha Kua alikuzima pesa siku za nyuma anakuja omba tena umkopeshe.. Dah ubinadamu kazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu atakapokuja kukopa Mara nyingine,,anakuja as if Hana DeniWaliosema udugu si kufanana bali kufaana,hawakukosea...watu tumepoteza hadi marafiki kwasababu ya kudai mali yako..piga moyo konde ndugu songa mbele,uzuri wa shida haina siku moja we mtazame tuu siku akikwama tena mwambie akulipe madeni yako ndio umpe hiyo anayotaka...full stop.
Aki vile kuna watu hawana aibu...yaani una deni halafu unaenda tena kukopa hapohapo aseee hata kama nduguyo watu tumeumbiwa soni...😂😂kuna watu wataalam jomoniii chaaaHalafu atakapokuja kukopa Mara nyingine,,anakuja as if Hana Deni,Mimi huo ujasiri Sina kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tuliokuwa na huruma iliyopitiliza unajikuta umempa TenaAki vile kuna watu hawana aibu...yaani una deni halafu unaenda tena kukopa hapohapo aseee hata kama nduguyo watu tumeumbiwa soni...kuna watu wataalam jomoniii chaaa
Kwasasa nilichokifanya ni kutobakiwa na ela ya ziada, zaidi ninaziweka fixed account.
Nabakisha fedha ya mahitaji yangu ya mwezi mzima, hivyo nashindwa kuwa na pesa ya kukopesha au kusaidiaa....
Kama ni kutuma nyumbani, naweka akiba ya hiyo pesa mapema, na wenyewe nimesha wambia wakihitaji pesa kwangu wanitaarifu mapema na sio kushtukiza.
Kukaa na pesa nyingi pasipokuwa na matumizi nayo, kunasababisha matumizi mabaya ya pesa au kukopesha watu kwa huruma tu.
Mwaka huu, kwa jinsi nilivyobahili, kunitoa pesa kizembe unahitaji kunishawishi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huruma ndio zinatuponza wengine..daah😩😩
Mwaka jana nimejifunza mengi sana,
Huyu kweli mangi
Ila hii njia nzuri,inazuia vishawishi vya kukopesha
Sent using Jamii Forums mobile app