ukikataa kurudisha vya kuazima....

Mabinti wazima kudhalilisha kiasi hiki ni upuuzi wa hali ya juu. Binafsi Ningewaamlia ila kama wangekaidi ningetembeza viboko.
 
Waone kwanza hata aibu hawana..!!
 
Heee balaa kwahio ndio alikuwa anavuliwa hadharani uwiiii
 
Mhhhhh ni Hatarrrreeeee anang'ang'ana sehemu nyeti sijui anataka kumvua kufuli???????!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…