Ukijikuta lazima upigane, mbinu nzuri za kushinda mapema ni zipi

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,195
Wana JF,.
Kupigana ni sehemu ya maisha yetu, ila tulio wengi hatupendi ugomvi wala kupigana. Sasa, ukijikuta katika hali ambayo LAZIMA upigane, ni mbinu zipi zinaweza kukupa ushindi?

fight.jpg
 
Ukitaka kuwin fasta usiwe muongeaji sana, sijui "we unasemaje, mara sijui huniambii kitu, ukiamua kufanya toka rohoni ruhusu maamuz yachukue hatua, piga ndonga moja nzito, ndonga huwa haidanganyi hasa ukiwa fundi wa kupiga hiv vitu.. Uppercut nayo ni super kumaliza utata.



Mizinguo mingi.. Toa mguu wa kuku uheshimike mtaani
 
Mbinu nzuri ni Kudanganya adui yako kila kitu kuanzia mazungumzo kama utapata mazungumzo nae, kama unamfahamu vizuri angalia hisia zake zipo wapi ila kama humfahamu bado unabaki na option ya kudanganya hata kwenye kupigana nae cheat kwa kutumia vikorokoro vinavyokuzunguka kama hujui mapigo, kama unayafahamu na adui yako anayafahamu basi mdanganye mapigo hakikisha adui yako hakusomi mapigo hakikisha unapiga maeneo "vital" kwenye boxing yanaitwa maeneo yenye point kifua, tumbo, kichwa n.k Mbinu ni kudanganya uwezavyo kila kitu utashinda tu mapema. Usitumie hisia iwe hasira au huruma utashindwa.
 
Ngumi ya koromeo ndo kiboko hata tyson ukimpa hyo anakaa chini we
 
Ukitaka kuwin fasta usiwe muongeaji sana, sijui "we unasemaje, mara sijui huniambii kitu, ukiamua kufanya toka rohoni ruhusu maamuz yachukue hatua, piga ndonga moja nzito, ndonga huwa haidanganyi hasa ukiwa fundi wa kupiga hiv vitu.. Uppercut nayo ni super kumaliza utata.



Mizinguo mingi.. Toa mguu wa kuku uheshimike mtaani
Ushauri wako mmmmh! Ikifika hivo ujue no turning back! ukijeuka jiwe la chumvi...............Familia kila kitu kwishinei manake.................................
 
Mbinu moja tu kushinda ni kuwahi kushambulia kabla hujashambuliwa.

Fanya mashambulizi ya kushtukiza ya haraka sana kwenye sehemu laini za mwili wa adui.

Kama pua, sehemu za siri, chembe , koromeo, jichon n.k
 
Kwanza usipaniki, pili angalia eneo lenye impact kubwa iwapo utampiga adui, tatu usianze mapigano, msome mkao wake(stance), nne hakikisha unakwepa pigo lake hapo hapo rusha ngumi yako maeneo ya uso, pua, jichoni koromeo, au teke la mbavu(lenye nguvu).
Kaa nae mbali kidogo (usipanic relax) kubali kuamuliwa ugomvi.
Japo maelekezo haya haya yanahitaji ujuzi wa kimapigano(martial arts skill) ni vema kufaham japo kidogo ili ujinasue kirahisi.

NB:Kuwa makini na adui yako, jitahidi ufaham anajivunia nini au silaha gani, pia njia nzuri ni kuchagua kutopigana.
 
Back
Top Bottom