Ukijifanya mjinga utapata vingi!

Ukijifanya mjinga utapata vingi!

Prof. Jay alisema Hilo linaitwa ZALI LA MENTALI
 
Huyo hajakupenda wewe .. kuna kitu amependa kwako na kumbuka kikitoweka naye atatoweka tu!
 
Inapendeza...

Ila neno Boo... linatumiwa sana na wanawake kwenda kwa mwanaume wake...


Cc: mahondaw
 
Kwaio huelewi hapo kwamba huyo ni gold digger kama hujui definition ya nani ni gold digger ni mwanamke anaevutiwa na wewe baada ya kugundua una nafasi fulani au una jambo fulani ili kupata picha na video za ma gold digger nenda facebook au instagram search jina mtu anaitwa riskyrob TV jamaa anawaumbua wanawake wa aina tofauti tofauti..mwanamke anaefaa ni yule anaekukubali au anaekubali tongozo bila kujua nafasi yako katima jamii
 
Ni kweli
Habari za mda huu wana jf

Ipoo hivi kuna mdada mmoja hvi ni mzuri kinoma yaani mzuri haswa bwana churaa ndo usipimee.

Kidume nikajitoa ufahamu nikamfuta manzi kumuongelesha tuu kujibu tabu akanambia toka nitakuabisha sasa hivi wewe hunijui basi ikabdi nitulie kidume nisije nikaibika.

Siku zikaend na miezi ikaenda nikwa kwenye kongamano moja la vijana mara paaa hyu hapa yule manzi akniona kumbe akanikumbuka nikjafnya kama sijamuona akawa ananiangali sana mimi nikajifanya simuoni basi mwisho wa sku nikmfuata nikampa mkono kanyoosha kanishika duuh nkaona kama ni ndoto bsi bana story story nikwa nmepata company mm kimya akanza kunambia sowry bana siku ile si unajua sku hazifanani? Naomba unisamehe skudhani kama wewe ni mstarabu hivi nkamuambia yameisha mama mimi shasahau na nmesamehe . akanipa namba mwenyewe bila kuombwa .

Kurudi nyumbani cm text haziishii daah mpka sasa sasa hvi siamini kama nmempata walai nikipita nae mtaani vidume mate yanawatoka

Ukijifanya mjinga utafahamu mengi na pia utapata vingi
Ustaarabu nao nijambo jema sana tuweni wastaarabu.


Leo mtoto naamiliki na mcontroll nitakavyo Mimi wake yeye wangu
Nakupend Boo wangu
 
Kuna uyu bidada juzi kati alinikuta road nko na bae angu. Akaja akanipa romantic hug na 2 shavu kisses. Ila ata nikimuita sexy hataki...
 
Back
Top Bottom