Ukijifanya mjinga utapata vingi!

Ukijifanya mjinga utapata vingi!

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,457
Habari za mda huu wana jf

Ipoo hivi kuna mdada mmoja hvi ni mzuri kinoma yaani mzuri haswa bwana churaa ndo usipimee.

Kidume nikajitoa ufahamu nikamfuta manzi kumuongelesha tuu kujibu tabu akanambia toka nitakuabisha sasa hivi wewe hunijui basi ikabdi nitulie kidume nisije nikaibika.

Siku zikaend na miezi ikaenda nikwa kwenye kongamano moja la vijana mara paaa hyu hapa yule manzi akniona kumbe akanikumbuka nikjafnya kama sijamuona akawa ananiangali sana mimi nikajifanya simuoni basi mwisho wa sku nikmfuata nikampa mkono kanyoosha kanishika duuh nkaona kama ni ndoto bsi bana story story nikwa nmepata company mm kimya akanza kunambia sowry bana siku ile si unajua sku hazifanani? Naomba unisamehe skudhani kama wewe ni mstarabu hivi nkamuambia yameisha mama mimi shasahau na nmesamehe . akanipa namba mwenyewe bila kuombwa .

Kurudi nyumbani cm text haziishii daah mpka sasa sasa hvi siamini kama nmempata walai nikipita nae mtaani vidume mate yanawatoka

Ukijifanya mjinga utafahamu mengi na pia utapata vingi
Ustaarabu nao nijambo jema sana tuweni wastaarabu.


Leo mtoto naamiliki na mcontroll nitakavyo Mimi wake yeye wangu
Nakupend Boo wangu
 
dah umenikumbusha jana mkuu kuna manzi naiongelesha ikatikisa kichwa tu ki ishara kwamba hataki ila poa dunia duara sema manzi mkali knomah
 
Ukishaelewa kuna kupata na kukosa wala hata husumbuki, cha muhimu ni kuwa tu respectful usiwe king'ang'anizi.

Akijibu kunya ndo imetoka hiyo, unapotezea. Huyo hata ukikutana nae next time unampotezea. Kwasababu jinsi mtu anavokujibu mara nyingi it's a reflection of their character, hasa kama ulimfata kiustaarabu.
 
mara nyingi mti mkubwa ukivunjika huhamia kwa miti midogo..ninamaanisha kuwa aliyekuwa anampa kiburi AMEMTUPA nawe umeletewa MAKAPI pole
Hilo mm sitaki kulifikiria sasa hivi tuko pamoja hayo ni past tuna focus present
 
WANAWAKE... wana udhaifu fulani hivi... ambao SISI wanaume wengi wetu Tumeshindwa kuugundua na kuufanyia kazi.. kwa waliougundua.. wanajipigia tu...


NAPENDAGA demu anijibu UTUMBO... ndio starting point.. usalama wake AKAE KIMYA
 
WANAWAKE... wana udhaifu fulani hivi... ambao SISI wanaume wengi wetu Tumeshindwa kuugundua na kuufanyia kazi.. kwa waliougundua.. wanajipigia tu...


NAPENDAGA demu anijibu UTUMBO... ndio starting point.. usalama wake AKAE KIMYA
Tuambie mkuu udhaifu wao, ili na sie madomo zegr tumege kirahs!!
 
Back
Top Bottom