Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

OK...
 
Sasa na wao wanavyomwambia dada wa watu kuwa anajiuza sijui ni malaya?

Ukiamua kuanzisha vita usimchagulie adui silaha ya kutumia dhidi yako.
Kwa jinsi alivyo toa mkasa wake ..ni kawaida kuhisiwa kuwa yeye ni Malaya ..na kama hana hizo tabia ni bora mwambie wata mwelewa tu ..lakini sio kutukana watu innocent ambao hata wengine hawajui hata maana ya jf
 
Na alaaniwe azinie hana akili kabisa, maana atenda jambo linalomuangamia mwili na nafsi yake..
Mithari..
 
ha ha ha ya nini sasa wakati wote tumefurahia
Yaani wanaume ambacho hamjui ni kwamba unapofanya na mwanamke ambaye huna malengo ya kumuoa unakuwa unampotezea muda kumbuka akifika umri fulani hajaolewa jamii itaanza kumnyooshea vidole ila wewe ukifika umri huo aliofika yeye haujaoa hamna atakayekuunyooshea vidole

Kwahiyo hapo mwanamke anakuwa na cha kupoteza ila mwanaume unakuwa huna cha kupoteza sasa kwa sababu wanawake wamegundua hilo wameona na wao wawe wanawachuna pesa wanaume ili hata wewe unapokuwa unampotezea muda wake na yeye anakuwa anakupotezea pesa zako
 
Kwa jinsi alivyo toa mkasa wake ..ni kawaida kuhisiwa kuwa yeye ni Malaya ..na kama hana hizo tabia ni bora mwambie wata mwelewa tu ..lakini sio kutukana watu innocent ambao hata wengine hawajui hata maana ya jf
Amewaambia lakini hawamuelewi acha tu nimtetee maana baadhi ya wanaume wa jf wanatia hasira sana yaani wanapenda tu kubishana vitu visivyo na maana ili mradi na wao waonekane wamebisha
 
Umeeleweka vizuri
 
....huyo kaka, naye alihisi amezama dimbwini na ndio maana hakuwa na mzuka. Sema yeye anajiheshimu na ndio maana hajafika kuandika huku. Hahahaha!
 
Amewaambia lakini hawamuelewi acha tu nimtetee maana baadhi ya wanaume wa jf wanatia hasira sana yaani wanapenda tu kubishana vitu visivyo na maana ili mradi na wao waonekane wamebisha
Hilo tusi Kali aisee . mshauri mwanamke mwenzako ajizuie kidogo
 
Hilo tusi Kali aisee . mshauri mwanamke mwenzako ajizuie kidogo
Kwa kweli hata ingekuwa mimi ningewajibu hivyo hivyo kama mtoa mada tu wala simshauri ajizuie chochote yaani hapa ni kama umepeleka kesi ya nyani kwa ngedere ukitegemea ngedere atakuwa upande wako
 
Kwa kweli hata ingekuwa mimi ningewajibu hivyo hivyo kama mtoa mada tu wala simshauri ajizuie chochote yaani hapa ni kama umepeleka kesi ya nyani kwa ngedere ukitegemea ngedere atakuwa upande wako
Hahahh .mbona huwa hauna huruma na wanaume.. Huwa nasoma comment zako ni kuwa kosoa na kuwa kandamiza wanaume kwa nguvu zote ..kumbukuka wanaume ni kaka zako,wajomba, na baba yako ..so inabidi ututhamini ..na kutujali binti
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…