Kazi kubwa kiubwa za mashirika ya ya kijamii kama UN SADC, WB, hasa kuhusu kutengeneza reports zinazohusu jamii. ila kazi kama hizo hazitoki kirahisi ila siku ikitoka unakuta una- apply peke yako.
Pia kuna kitu ambacho watengenezaji wa miradi ya maendeleo (infrastructure) kwenye feasibility study lazima pia kuna kuangalia jamii ambayo imezungukwa na miradi hiyo ambapo huyo mtu wa community ndo anaanda report. Bila report ya huyo mtu hakuna mradi utaruhusiwa kufanyika hapo.
Mara nyingi watu waliosomea political/social science ndo wanafanya hizi kazi kwenye miradi lakini kiuhalisia sio za kwao ila kwa kuwa kuna ufinyu wa upatikanaji wa wahusika kamili ndo hawa wanaingia kufanya hizi kazi.
Wakati mwingine unatumia CV yako kuwapa makapmuni wanaooomba kazi mfano project za WB. Unalipwa chako na mradi ukipatikana wanakuingiza.
Zinalipa ila unatakiwa kuwa umefungua campuni yako binafsi unaingia kama consultant. Ni sawa na watu wa environment ambao bila andiko lao mradi hauwezi kufanyika.
Tena unatakiwa ujiongeze mpaka kwenye matsers ndo utafaidi vizuri