englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Aug 27, 2014 #1 <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,066 Reaction score 3,639 Aug 27, 2014 #2 nimeichukua though Bado Majobless
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Aug 27, 2014 #3 Irrelevant to me japo ina ujumbe murua kabisa! Theory ya huyu jamaa inapingana kabisa na haya: Kwanini watu wanafanya kazi mpaka over time? Human wants are unlimited, time is limited, unawezaje kuvizungumzia hivyo vitu viwili?
Irrelevant to me japo ina ujumbe murua kabisa! Theory ya huyu jamaa inapingana kabisa na haya: Kwanini watu wanafanya kazi mpaka over time? Human wants are unlimited, time is limited, unawezaje kuvizungumzia hivyo vitu viwili?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 27, 2014 #4 <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Ni kweli lakini
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,276 Aug 27, 2014 #5 lolest............kweli kutoka mapema ndio mpango mzima
Denjo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 359 Reaction score 118 Aug 27, 2014 #6 Excel said: Irrelevant to me japo ina ujumbe murua kabisa! Theory ya huyu jamaa inapingana kabisa na haya: Kwanini watu wanafanya kazi mpaka over time? Human wants are unlimited, time is limited, unawezaje kuvizungumzia hivyo vitu viwili? Click to expand... overtime siumejitakia mwenyewe kwan umelazmishwaa na ukifanya overtime malipo yake siunayajuaa ndg au salary slip yako uwa aina malipo ya overtime? ???????????
Excel said: Irrelevant to me japo ina ujumbe murua kabisa! Theory ya huyu jamaa inapingana kabisa na haya: Kwanini watu wanafanya kazi mpaka over time? Human wants are unlimited, time is limited, unawezaje kuvizungumzia hivyo vitu viwili? Click to expand... overtime siumejitakia mwenyewe kwan umelazmishwaa na ukifanya overtime malipo yake siunayajuaa ndg au salary slip yako uwa aina malipo ya overtime? ???????????