Mshukuru tu Mungu.
Aaah! JF burudani, maswali yote yanapata majibu mwanana kabisaHatua ni kama zifuatazo
1)Sikitika. Kulingana na thamani ya simu unaweza kusikitika hadi ukatoa machozi kadhaa.
2)Jisachi ili kubaini kama kuna kitu kingine mbali na simu kimeibiwa.
3)Chukua mapumziko ya takribani masaa mawili ili kutuliza wenge la kuibiwa. Hapa unaweza kulala eneo lenye utulivu na upepo mwanana
4)Baada ya mapumziko mafupi, tizama saa kama muda bado unaruhusu ili uweze ku renew line yako, kama muda hautoshi fanya zoezi hili siku inayofuatia
5)Anza mkakati wa kutafuta simu nyingine
Moja.. Mkimbize mwizi hadi umkamate.
Mbili.. Ukimkamata, Chukua simu yako, alafu mkague uone kama ana kadi ya kupigia kura.
Tatu.. Akiwa nayo USIMUUE, asipokua nayo Piga kiberiti.
Nne.. Angalia pia anakadi ya Chama gani!? Kama Chama Tawala MPE walau 20K akanunue simu.. Kama Ni mpinzani Mpore Alichonacho.
Tano.. Agana naye.
Hatua ni kama zifuatazo

mkuu hakikisha una risiti ya hip simu na imei yake ilioandikwa kwenye risiti au boksi, nenda kituo chchote cha polisi kawaambie umeibiwa simu wakupe RB kisha nenda central police station kalipie 500 kwa muhasibu then uende waambie wakiandikie police report kisha uende voda shop,tigo shop ..n.k