Ukihadaika imekula kwako !

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
978
Reaction score
184
Anakuimbia nyimbo tamu kwa sauti yake laini.
Anajipitisha pitisha mbele yako.
Mwishowe usipokuwa makini atakukalia kama alivyo maungoni mwako.
... Lakini hala hala ndugu,keshawapeleka wengi kaburini kwa tamaa zake.
Hana lolote akiishakunyonya atakuachia ugonjwa wa malaria na kuondoka.
... Shusha chandarua uepukane na mbu anaeeneza malaria.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…