HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Aug 28, 2012 #2 Unamaanisha nini mbona sijakuelewa?Usitake niambia kuwa Samsung na Apple wanaigiliziana duh basi noma.Niulize swali eti kwanini Kesi ya Samsung na Apple kwa nchi nyingine Samsung anashinda ila akienda kesi za USA lazima apigwe chini?
Unamaanisha nini mbona sijakuelewa?Usitake niambia kuwa Samsung na Apple wanaigiliziana duh basi noma.Niulize swali eti kwanini Kesi ya Samsung na Apple kwa nchi nyingine Samsung anashinda ila akienda kesi za USA lazima apigwe chini?
M Mwalufunamba JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 211 Reaction score 129 Aug 28, 2012 #3 Yaani hapo wamemdhalilisha sana Samsung. Yaani Samsung (he) anadokolezea kwa Apple (she) kiasi cha kuwa si kudokolezea bali ni kugandamizia. Duh! Hiyo kali. Afadhali Nokia, yeye anajikazania lwake na kapenseli kake.
Yaani hapo wamemdhalilisha sana Samsung. Yaani Samsung (he) anadokolezea kwa Apple (she) kiasi cha kuwa si kudokolezea bali ni kugandamizia. Duh! Hiyo kali. Afadhali Nokia, yeye anajikazania lwake na kapenseli kake.