Ukidhaniacho ndicho, kumbe sicho

Ukidhaniacho ndicho, kumbe sicho

Umenikumbusha enzi nko high school na chuo...nlikua maneno mengi, uongo fix sanaa tu kwa ma shawry. Yote ili nikamue mzigo. At tyms walikua wanajua nawapiga fix tu but still hawachomoi. Tehe

Honestly, hyo tabia dem umemjua leo kesho anaomba hela inachefua sanaaa. Hata kama ulikua interested mzuka wote unakata. Hela hela hela mi babako ?? Ebo !!
 
Alafu unajiita mwanaume!? Hivi lini wenzetu mtaelimika? Hii aina ya wanaume wananitia kichefuchefu kabisa cha kusikitisha ni wengi sana.Hivi hamuwezi kuwa na utu? Mnawaza papuchi tuuuu, akili zimeganda ka nta. Dada yako nafanyiwa hivyo hivyo, mtoto wako wa kike atafanyiwa hivyo hivyo dah! So sad!

Waachwe tu, maana hakuna namna.
 
Alafu unajiita mwanaume!? Hivi lini wenzetu mtaelimika? Hii aina ya wanaume wananitia kichefuchefu kabisa cha kusikitisha ni wengi sana.Hivi hamuwezi kuwa na utu? Mnawaza papuchi tuuuu, akili zimeganda ka nta. Dada yako nafanyiwa hivyo hivyo, mtoto wako wa kike atafanyiwa hivyo hivyo dah! So sad!

acheni tabia za kichangu kwenye mahusiano wala hutaona shida, sasa kama wewe ni mpenzi wangu huku una act kichangu unategemea nini, utaliwa bue tu.

wanawake msiojielewa mtaishia kuliwa tu na kuachwa maana hamueleweki
 
We are asked to have faith in a Man weather learned or most ignorant, and you my friend is the latter....
 
katakua. kamerudi lakini kamekubebea kisasi kaa tayari…
wewe na yeye wote mpo sawa ko nnashangaa kwann unamtelekeza mwenz wa maisha yako
 
acheni tabia za kichangu kwenye mahusiano wala hutaona shida, sasa kama wewe ni mpenzi wangu huku una act kichangu unategemea nini, utaliwa bue tu.

wanawake msiojielewa mtaishia kuliwa tu na kuachwa maana hamueleweki

nnakuonea huruma wewe mlaji coz hawatoisha but ww utaisha.
 
Kuna watu wanasikitisha sana.
Kama ulijua huwezi kumtimizia anachohitaji hakukuwa na haja ya kulazimisha sex.
Ungemtafuta unaeweza kumla bila kukuomba hela. Wapo wengi.
I feel pity for u.
 
Embu kwanza ulikumbuka zana??????? Kama hapana jiandae kulipa mikopo unayowakopa pale utapoanza kujiuguza.
 
Umemfanyia hivo mwanamke kumbuka hata mke utakae oa hujui wanamfanyia nn
 
Inaonekana akili zako co nzima kidogo ndo maana unafanya hayo
 
Back
Top Bottom