Ukidaiwa ukashindwa kulipa ukapelekwa Mahakamani unaposomewa mashtaka ya madai mdaiwa akikana maana yake nini?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,992
2,000
Mdaiwa huwa hafungwi iwapo atakiri deni na kuhaidi kulipa taratibu. Ila ukikana kudaiwa na anaekudai akaonyesha ushahidi wa wewe kudaiwa kweli Mahakama ikithibitisha - Itagundua umefanya kosa la kusema uongo. Hakimu anaweza kutoa hukumu na ukitoka Jela lazima ulipe Deni la watu.
Akhsante kwa ufafanuzi
 

Afriti

New Member
Apr 25, 2020
2
20
mimi nimefunguliwa kesi ya madai kituo cha railway na mpenzi wangu baada ya kuachana je ipoje kisheria hiyo wakuu
 

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
29,292
2,000
Pengine kuna technicality kaiona na anataka kuiexploit mfano upatu au kukopeshana uraiani hakutambuliki kisheria sasa huyu mtu akala hela kutoka kwenye upatu au kwa mtu aliyemkopesha.

Akifika mahakamani anaweza akakana, hata kama ukionyesha mkataba hiyo ni kwakua sheria inasema kua anayetakiwa kukopesha ni taasisi ya fedha na hata mhifadhi fedha ni benki hivyo hata huo mkataba ni batili kutokana na kua umevunja sheria.
Kuna kesi kama hii na hakimu anashinikiza mkataba ufuatwe ili mdaiwa alipe kiasi alichokopa na riba juu
 

superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
5,307
2,000
Ok nashukuru mfano hakuweka kitu bond alidhaminiwa tu na mumewe na mwenyekiti wa mtaa alisaini sehem yake kumtambulisha mtu huyo kuchukua mkopo inakuwaje ila ushahidi wa mkataba anao na finger print aliyoiweka. risiti za rejesho 2 kati ya 4 tu ndio anazo maana ndio alilipa, itakuwaje
Watu wa musoma na biashara zenu za kipumbavu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom