Ukichanganya rangi itapendeza!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wewe ni mweusi kama kiwi unataka tena kuowa mweusi kama mkaa hapo mtatengeneza giza!kama wewe ni mweusi ukiowa mtu mweupe itapendeza zaidi,kama wewe ni mrefu ukiowa mfupi itapendeza zaidi,kuna kitu cha kujifunza kwa Ndugu zetu wasukuma![emoji2]
 
Aiseee. Kweli mgaa gaaa na upwa....
 
Wewe ni mweusi kama kiwi unataka tena kuowa mweusi kama mkaa hapo mtatengeneza giza!kama wewe ni mweusi ukiowa mtu mweupe itapendeza zaidi,kama wewe ni mrefu ukiowa mfupi itapendeza zaidi,kuna kitu cha kujifunza kwa Ndugu zetu wasukuma![emoji2]
Kinacho determine rangi ni internal genes sio external color
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…