Ukiapply chuo majibu baada ya mda gani

cattoon

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
142
Reaction score
43
Niliapply chuo juzi Jana nimeletewa message ambayo imeandikwa admited baada ya kupiga sim chuo husika wakasema nimechaguliwa nimeuliza watu ambao waliwai kuapply wananiambia majibu hutoka baada ya wiki mbili baada ya tarehe walotaja ya mwisho Ku apply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hata usemi chuo gani. Ww unadhani Taratibu za vyuo vyote zipo sawa?? Bya The way Undergraduate wanaomba chuo Nacte na wa wanao taka u graduate wanaomba TCU. Sasa ww umeomba chuo ni short course au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…