Ukiachiwa mzigo ndani ya daladala

Kichenje

Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
12
Reaction score
2
Msafiri wenzako ambaye hamjuani kakupa mkoba umshikie,alipoteremka kasahau kuuchukua toka kwako.nawe unahaja ya kumrudishia.je unapaswa ufanyeje.
 
peleka kituo cha police wala usifungue kuangalia kilichomo maana wengine wanabeba majini kwenye mabegi yao
 
kaka... Unaenda kituo cha habari aidha tv au radio... Kipindi kinachosikilizwa na wengi then itoe kama tangazo... Huyo mtu atajitokeza tuu.. Tena si ulishawahi kumuona so there will be no mchakachuaji... Tena unampa maswali ataje ndani kuna nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…