Ukiacha wazee wa kaz ngorika,bufalo na dar express bus gani linashika nafac ya speed kwa sasa

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,045
2,000
Wakuuu heshima kwenu
January ndiyo hii bdo twaisoma no bla ubish

Embu tujulishane hapa kwa sasa n bus gani lnaogopeka kwa speed barabaran kwa sasa ukiacha wazee wa kaz waliokua wameshikilia hii nafac kwa mda mrefu Ngorika,bufalo,dar express
Hiz bus zlikua na,speed co mchezo ila kwa sasa zmeshachoka,

Je n bus gani znashika hii nafas ukipanda n umeweka roho mkonon
 

CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,790
2,000
Kuna Arusha exp. sijui kama walishapunguza speed maana baada ya kupanda mwaka 2012 niliapa sintopanda tena hadi leo.
Bus la abiria lina speed kama gari la magazeti?
 

Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,085
2,000
Mbele ya tochi za kamera hakuna namna..

Jana nilikua narudi jijini nikapigwa tochi kutokea nyuma sehemu ambayo ni ngumu sana kushuka speed kwa haraka kama hujazoea hiyo njia..
 

kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,318
2,000
Kwa sasa sidhani kama kuna basi linaweza kwenda speed zaidi ya 100 labda iwe safari ya usiku.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom