Inakuhusu nini zikipotea
Inakuhusu nini zikipotea
Hahah..kazi kwelikweli.
java haiwezi kutoweka hata kwa fikra
najua java ndo kila ki2 but hv hakuna software ambayo inaweza take over?
Nokia Wameacha Kui Develop Symbian Pamoja Na Meego So Wameamua Kukazia Kwenye Windows Phone Na Asha Os Ambayo Imeanza Kutumika kwenye Nokia Asha 501 Iliyo Ingia Sokon Hvi Karibuni!!
simu Ya Mwisho Kutoka Na Symbian Os Ilikua Nokia 808 iliyotoka Mwaka Jana Na Latest Version Ya Symbian Ni Belle Os
mkuu kwa sasa bado hakuna harufu hiyo, naamini kuna developers wanaokerwa na dominance ya java na wanajiuliza kwa msingi wa swali lako. nami natamani software kushindana na java
kwa maana hiyo apps na games za .jad(java) na .sis(symbian) zinaweza kupungua kwa kias kikubwa sana kwa kipnd kijacho. Coz cm kubwakubwa nyng ni android, na nokia os. Na os zngne nyng tu.
Java ni programming language symbian ,android na ios ni operating systems
Android ni operating system ambayo imeundwa na linux(linux based
).Waanzilishi ni kampuni ya google. Android inatumia dalvik virtual machine kuwezesha kurun java applications kwenye android.Kwahiyo application za android nyingi zinaundwa na java japo unaweza kutumia native languages kama c au c++ kuunda hizo app.
Ios au iphone operating system imeundwa kwa ajili ya simu,programned in c ,c++ objective c...
Application za iphone zimeundwa kwa lugha inayoitwa objective c au cocoa.
Symbian,nokia ndo wamekuwa wakiitumia sana, samsung pia kwa simu zake za zamani. Imeundwa na c++ na application zake pia zatengenezwa kwa c++ wakichanganya pia na html5 nk.