Ukerewe

Bob Fern

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
900
Reaction score
132
Mbona Chadema wamemtenga mbunge mwenzao. Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani Ukerewe
 
Hii nchi inapasuliwa vipande na mtu mmoja tu,,

Tafakari sana kabla ya awamu hii watu waliishije na sasa wanaishije kama jamii moja
 
Kuna waziri juzi ametamka hataki siasa. Wakienda kina Mbowe haitakuwa siasa ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…