Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Hivi ni kwa nini watu wanaoziacha dini zao za awali na kuingia kwenye dini mpya wanakuwa ni wakereketwa sana kuliko wenye dini haswa.
Mfano mtu akitoka kwenye uislamu akiingia ukristo anakuwa mkereketwa sana kuliko aliowakuta na ukristo wao,
hali kadhalika mtu akitoka kwenye ukristo na kuingia uislamu anakuwa mfurukutwa sana kuliko hata ma sheikh wa mujahidin aliowakuta na wakamfunza dini?

atakuwa mkereketwa kwa sababu anaona ukweli wa mambo na watu aliowakuta hafuati dini kama ifuatavyo ndio maana anakua mkali wa dini na mfuasi mzuri wa Dini lakini itabidi ajifunze vizuri sio tu kutoka katika dini moja na kujiunga na dini ingine unakuwa mkereketwa mkali itabidi ujifunze dini unayoingia vizuri na uijuwe hiyo dini mpya kwa uzuri zaidi ndio utakuwa mkereketwa mzuri hayo ni mawazo yangu mimi
Hapo sasa umegusa penyewe!Asante kwa mawazo mazuri.
Je inakuaje pale dini uliyoiingia inapokuwa ina discourage kuuliza uliza maswali ili uijue vizuri?
asante kwa mawazo mazuri.
je inakuaje pale dini uliyoiingia inapokuwa ina discourage kuuliza uliza maswali ili uijue vizuri?
Asante kwa mawazo mazuri.
Je inakuaje pale dini uliyoiingia inapokuwa ina discourage kuuliza uliza maswali ili uijue vizuri?
Asante kwa mawazo mazuri.
Je inakuaje pale dini uliyoiingia inapokuwa ina discourage kuuliza uliza maswali ili uijue vizuri?
ukiongea hivyo utapigwa mawe hadi ufekuna baadhi ya dini hutakiwi kuuliza maswali sensitive ndugu! Watakutishia muda si mrefu! Na ukiamua kuiacha hiyo dini baada ya kugundua ukweli na ikiwa uko saud arabia, northern nigeria, darfur-sudan, somalia, pakistan, iran, indonesia, nk, utaangamizwa maisha yako kabisa, hata kama ni kwa kujilipua mwangamizaji!
Ukiuliza maswali ya ndani sana UTAAMBIWA HAUNA ROHO MTAKATIFU na hata ukitaka kusoma kwenye kitabu chenyewe unaambiwa huwezi elewa wewe unapewa vile vilivyorahisishwa katekism na chuo kidogo cha Sala