Nadhani title hapo juu haikua yenyewe,
"Uke una Rangi gani?"
Kwa kua swali lako ni,
Uchafu unaotoka ukeni wa kawaida una rangi gani?
Ili kama ikiwa rangi tofauti ujue kua una tatizo,
Jibu ni kua,
Uchafu wa kawaida hua na rangi nyeupe na wengine rangi ya cream isiyokoza na HUA HAUNUKI.
Kunuka ule uchafu ni dalili kubwa ya tatizo,
Wataalamu wanajua zaidi.