Uke kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana, Je, ni tatizo?

Asalam Alleykum wana jamvi hili tukufu.
Naja hapa nami ili kuleta tatizo langu linalonikabili kunako uwanja wa sita kwa sita,
Tatizo lenyewe ni uke wangu kutoa maji mengi sana, yaani naweza hata jaza kisado baada ya kumaliza kufanya mapenzi.
Je,Huu ni ugonjwa au ni hali ya kawaida kwa maumbile yangu, maana nina mwili wa wastani tu.
wengine waniambia eti niache kula Nyanya Chungu maana nazo zinachangia.
Naomba mnisaidie nifanyaje maana nimebaki gwaa!!! kama mchuzi wa dagaa.

nimeipenda hiyo.
 
Hiyo kitu ndio yenyewe, unapatikana wapi Shenaz nikutafute! Hayo maji yanatakiwa yakamuriwe kidogo kabla ya kuingia, ufundi mwingine nitafute tufanye practical
 
Wa kwangu mpaka nalowa usoni, shuka lazima libadilishwa, kanga hiyo usiseme, taulo; Yaani baada ya mchezo nikama mafuriko yalipita vile. Nimezoea na enjoy hasa pale anapokojoa hivyo.
 
Asalam Alleykum wana jamvi hili tukufu.
Naja hapa nami ili kuleta tatizo langu linalonikabili kunako uwanja wa sita kwa sita,
Tatizo lenyewe ni uke wangu kutoa maji mengi sana, yaani naweza hata jaza kisado baada ya kumaliza kufanya mapenzi.
Je,Huu ni ugonjwa au ni hali ya kawaida kwa maumbile yangu, maana nina mwili wa wastani tu.
wengine waniambia eti niache kula Nyanya Chungu maana nazo zinachangia.
Naomba mnisaidie nifanyaje maana nimebaki gwaa!!! kama mchuzi wa dagaa.

Hapo kwenye red bold, unamaanisha kile cha lita 4???
 
Mdada mimi kama kijana nilicho pata napenda kumpa mwenzangu nikidhani kinafaida moja ama nyingine iko ivi mimi nimeambiwa kua mwanamke kua na maji mengi wengi inatokana na kutofanya tendo la ndoa kwa kipindi kirefu ivi hilo la kwanza pili nikaambiwa wanawake wa kanda za juu hasa wakabila la wakulya wanatoa maji hambayo ni mengi kama ulivyo sema wewe unaweza jaza kisado ambapo kitendo hicho wanaita "KATERERO"...Sasa basi utachambua hapo eidha wewe unakua ufanyi nonino kwa muda au nikabila hilo hapo juu na kwa madaktari wanavyo sema "mwanamke anaye tokwa na maji mengi ukeni ndo mzuri kwani mwanaume hapati shida kugobeka na mwanake huwa apati maumivi na hii huepusha michubuko ambayo ingepelekea kupata maladhi kiulahisi ikiwa kinyume na mwanamke mkavu ila mimi namtafuta mkulya nipige katerero thanks...
 
Ninavyo elewa,hiyo inaitwa "squirting" kibaiolojia.
Ni namna fulan ya "female ejaculation" au "kufika kilele/kukojoa lolz" kwa mwanamke.
Si tatzo,n hal ya kawaida.
Ila kisado?
 
Mdada mimi kama kijana nilicho pata napenda kumpa mwenzangu nikidhani kinafaida moja ama nyingine iko ivi mimi nimeambiwa kua mwanamke kua na maji mengi wengi inatokana na kutofanya tendo la ndoa kwa kipindi kirefu ivi hilo la kwanza pili nikaambiwa wanawake wa kanda za juu hasa wakabila la wakulya wanatoa maji hambayo ni mengi kama ulivyo sema wewe unaweza jaza kisado ambapo kitendo hicho wanaita "KATERERO"...Sasa basi utachambua hapo eidha wewe unakua ufanyi nonino kwa muda au nikabila hilo hapo juu na kwa madaktari wanavyo sema "mwanamke anaye tokwa na maji mengi ukeni ndo mzuri kwani mwanaume hapati shida kugobeka na mwanake huwa apati maumivi na hii huepusha michubuko ambayo ingepelekea kupata maladhi kiulahisi ikiwa kinyume na mwanamke mkavu ila mimi namtafuta mkulya nipige katerero thanks...

Ok, may be...
 
Back
Top Bottom