Hivi vikififia tatizo lako kubwa ni nini, kama umeshindwa kuijenga na kuishauri UVCCM inayochungulia kaburi utayaweza ya Bavicha.Mkuu, huoni kuwa harakati za BAVICHA na BAWACHA za sasa zimefifia? Au mpaka uvalishwe miwaninya mbao ndo uone?
Anachapia wapi huko baharini au mtoni hatumuoni huku duniani yuko wapi?niliiona ile thread na nilichangia sana.. ptrobas anachapa sana kazi tatizo cdm wanapenda mtu apambwe sana na media kila gazeti wakishika waone jamaa kaandikwa. mshikajia anachapa sana kazi
Jibu hoja acha kuanzisha hoja juu ya hoja bavicha imekufa au haijafa?Hivi vikififia tatizo lako kubwa ni nini, kama umeshindwa kuijenga na kuishauri UVCCM inayochungulia kaburi utayaweza ya Bavicha.
mkuu inawezekana kwa macho yako na mtazamo wako ukaona zimefifia, huenda wamebadili mbinu katika kupambana na chama dola.any way ukiona shabiki wa simba anawaambia yanga wameshuka kiwango tofauti na zamani, inabidi wajiangalie mara mbilimbili. Ni nadra sana adui wako kukurekebisha pale unavyofanya vibaya.Mkuu, huoni kuwa harakati za BAVICHA na BAWACHA za sasa zimefifia? Au mpaka uvalishwe miwaninya mbao ndo uone?
Utamu wa siasa ni pale kunapokuwa na kambi mbili zenye uwezo unaokaribiana. Kufa kwa chadema kutasababisha watu wengi wakose ajira hasa misukule ya KinondoniHivi vikififia tatizo lako kubwa ni nini, kama umeshindwa kuijenga na kuishauri UVCCM inayochungulia kaburi utayaweza ya Bavicha.
Mkuu, kwa kawaida harakati za mabaraza zinakuwa za wazi. Hizo mbinu za kificho wanafanya Red Brigademkuu inawezekana kwa macho yako na mtazamo wako ukaona zimefifia, huenda wamebadili mbinu katika kupambana na chama dola.any way ukiona shabiki wa simba anawaambia yanga wameshuka kiwango tofauti na zamani, inabidi wajiangalie mara mbilimbili. Ni nadra sana adui wako kukurekebisha pale unavyofanya vibaya.
Mpiga umbea anajulikana kuwa ni huyu hapa wengine unawasingizia tu.Huu umbea ungepeleka kwa mme wako Urambo ungelipa kuliko huku. Nani kakwambia sisi tuna jumuhiya?
haa haa kwani kazi ya kuwapa vijana ajira si ni kazi ya serikali iliyopo madarakani? Nimeamini ccm imepoteza dira kama chama tawala.Utamu wa siasa ni pale kunapokuwa na kambi mbili zenye uwezo unaokaribiana. Kufa kwa chadema kutasababisha watu wengi wakose ajira hasa misukule ya Kinondoni
kwa hiyo kila mbinu lazima iwe wazi? Mkuu acha masihara hayo.Mkuu, kwa kawaida harakati za mabaraza zinakuwa za wazi. Hizo mbinu za kificho wanafanya Red Brigade
Wadau, kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kwamba jumuiya zao ambazo zilikuwa nyenzo muhimu ya kueneza chama za BAVICHA na BAWACHA kwa sasa ni kama zimeshakufa kifo cha mende. Na hii ni kutokana na jumuiya hizo kukosa maarifa ndani ya muungano wa UKAWA. Harakati alizoanza nazo Mwenyekiti wa BAWACHA, HALIMA MDEE kwa sasa hazipo tena. Mwenyekiti wa BAVICHA, PATROBAS naye anaonekana kushindwa kabisa kimbinu na kimkakati na hivyo kutotimiza vema majukumu yake.
Sababu kubwa ya mabaraza haya kushindwa kazi inaelezwa kuwa ni kutokana na mikakati mingi kufanywa na UKAWA hivyo viongozi hawa kujikuta wakielea hewani. Aidha, baadhi ya wachambuzi wanaeleza sababu za kushuka umaarufu kwa mabaraza hayo inatokana na viongozi waliochaguliwa hivi karibuni kwa shinikizo la Mwenyekiti kukosa weledi na maarifa ya kuendeleza jumuiya zao. Kwa sasa wamebaki kuwa bendera fuata upepo.
Nimekwambia muulize mama Escrow atakwambia.Moto upi wa bawacha labda kunywa pombe wala siyo kitu kingine kunamoto gani wameonesha?
naona umemisi kuandika post, subiri bmk lianze uendelee kuripoti. maana ule moto wa ukawa kwenye serikali za mitaa umewashtua sana.
Wewe tumia akili unapo evaluate vichwa vya watu. Akili ya Halima inamzidi Sofia Simba mara elfu moja. Au unaona Sofia Simba alipowakataza wanawake wawanyime waume zao tendo la ndoa kwa kuikataa ccm alikuwa anatekeleza sera ya UWT au alikuwa anajidhihirisha alivyo mwendawazimu?Uko sawa mkuu halafu hao bawacha na bavicha wenyewe hakuna mtu au kiongozi mwenye akili ya kiuongozi hata mmoja wengi wao ni wahuni tu.
Ndugu,
Kwa CCM kupata zaidi ya 80% ya viti vilivyopigiwa kura nchini, kweli itakuwa imeshtuliwa sana.
Harakati za Bavicha zimefifiaje? Mbona tunakamua kama kawa? Au kwa vile hutuoni TIBISII?Mkuu, huoni kuwa harakati za BAVICHA na BAWACHA za sasa zimefifia? Au mpaka uvalishwe miwaninya mbao ndo uone?
Wadau, kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kwamba jumuiya zao ambazo zilikuwa nyenzo muhimu ya kueneza chama za BAVICHA na BAWACHA kwa sasa ni kama zimeshakufa kifo cha mende. Na hii ni kutokana na jumuiya hizo kukosa maarifa ndani ya muungano wa UKAWA. Harakati alizoanza nazo Mwenyekiti wa BAWACHA, HALIMA MDEE kwa sasa hazipo tena. Mwenyekiti wa BAVICHA, PATROBAS naye anaonekana kushindwa kabisa kimbinu na kimkakati na hivyo kutotimiza vema majukumu yake.
Sababu kubwa ya mabaraza haya kushindwa kazi inaelezwa kuwa ni kutokana na mikakati mingi kufanywa na UKAWA hivyo viongozi hawa kujikuta wakielea hewani. Aidha, baadhi ya wachambuzi wanaeleza sababu za kushuka umaarufu kwa mabaraza hayo inatokana na viongozi waliochaguliwa hivi karibuni kwa shinikizo la Mwenyekiti kukosa weledi na maarifa ya kuendeleza jumuiya zao. Kwa sasa wamebaki kuwa bendera fuata upepo.
Mkuu, huoni kuwa harakati za BAVICHA na BAWACHA za sasa zimefifia? Au mpaka uvalishwe miwaninya mbao ndo uone?
Unafurahia kura ushindi wa mapingamizi,Ndugu,
Kwa CCM kupata zaidi ya 80% ya viti vilivyopigiwa kura nchini, kweli itakuwa imeshtuliwa sana.