Wadau, kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kwamba jumuiya zao ambazo zilikuwa nyenzo muhimu ya kueneza chama za BAVICHA na BAWACHA kwa sasa ni kama zimeshakufa kifo cha mende. Na hii ni kutokana na jumuiya hizo kukosa maarifa ndani ya muungano wa UKAWA. Harakati alizoanza nazo Mwenyekiti wa BAWACHA, HALIMA MDEE kwa sasa hazipo tena. Mwenyekiti wa BAVICHA, PATROBAS naye anaonekana kushindwa kabisa kimbinu na kimkakati na hivyo kutotimiza vema majukumu yake.
Sababu kubwa ya mabaraza haya kushindwa kazi inaelezwa kuwa ni kutokana na mikakati mingi kufanywa na UKAWA hivyo viongozi hawa kujikuta wakielea hewani. Aidha, baadhi ya wachambuzi wanaeleza sababu za kushuka umaarufu kwa mabaraza hayo inatokana na viongozi waliochaguliwa hivi karibuni kwa shinikizo la Mwenyekiti kukosa weledi na maarifa ya kuendeleza jumuiya zao. Kwa sasa wamebaki kuwa bendera fuata upepo.
Mkuu, hakika Patrobas kashindwa kabisa kuvaa viatu vya John Heche. Kuna mada ilijadiliwa sana humu ambapo ilikuwa inauliza je John Heche kaondoka na BAVICHA? Kama ulipitia uzi ule huwezi kumpamba Patrobashuu ni uelewa duni wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini usio zingatia uhalisia wala takwimu. halima mdee kafanya mikutano mingi sana tz ya kuimarisha chama hata mkoa fulani walishangaa kumwona kiongoz mwanamke asie olewa any way nirudi kwenye maada patrobas haki kadhalika kafanya vivyo hivyo. si lazima usikie patrobas kaswekwa rumande ndo ujuwe anafanya kazi. moja ya watu ambao wana threat ushindi wa ccm kanda ya ziwa ni patrobas. ni mtu anae fanya mambo yake kimkakaati, ni mtu anae aminika, na mwenye ushawishi mkubwa sana.
mambo yapi yako wazi?Mkuu, unakujua kukurupuka wewe? Mbona mambo yapo wazi sana haya?
kama na yeye ni mwanasiasa hawezi toka nje ya kundi hilo!kwa hiyo tusimwamini zito asante
Mkuu, hakika Patrobas kashindwa kabisa kuvaa viatu vya John Heche. Kuna mada ilijadiliwa sana humu ambapo ilikuwa inauliza je John Heche kaondoka na BAVICHA? Kama ulipitia uzi ule huwezi kumpamba Patrobas