Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Nov 24, 2014 #21 Kama habari imekuudhi,tulia. Watu kutoa taarifa za mikutano ni maji taka? Kukariri kwingine kubaya! Ng'wanapagi said: Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka. Click to expand...
Kama habari imekuudhi,tulia. Watu kutoa taarifa za mikutano ni maji taka? Kukariri kwingine kubaya! Ng'wanapagi said: Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka. Click to expand...
P Peter Arusha New Member Joined Oct 27, 2014 Posts 3 Reaction score 3 Nov 24, 2014 #22 Singida amkeni.
K kasinge JF-Expert Member Joined May 22, 2011 Posts 1,259 Reaction score 319 Nov 24, 2014 #23 Tatizo hatujiandikishi kupiga kura. Tukajiandikishe jamani.