Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Inatia hamasa na furaha kuona watanzania wanaamka dhidi ya ufedhuli!
Singida Kaskazini mbunge wake nani ?.
Moto uliowashwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unazidi kutikisa. Kundi la wanachama wa CCM katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chadema wakati wa kiapo cha uzalendo, muda mfupi baada ya kujiunga na chama hicho kwenye moja ya mikutano ya Operesheni Delete CCM iliyohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa wiki.
Lazaro Nyarando ndo mbunge wa Singida Kaskazini,
habari zinazunguka haraka sana kuringanisha na miaka ya nyuma - hili nalo linasaidia sana kutoa elimu ya uraia. Huwezi kuamini hadi vijijini sakata hili wanalifuatilia kwa ukaribu mkubwa!!Hili sakata la Escrow usidhani kuwa watanzania hawalijui...na lina athari kubwa sana.
Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka.
Utaelewa tu mkuu maana UKAWA wao ni gari la matangazo linapita then watu kesho yake wanakuja wao kwa gharama zao kwenye mikutano lakini upande wa pili yaani CCM wao wanatangaza na kubeba watu kutoka maeneo tofauti na mkutano unapofanyika. So hesabu rahisi ni kwamba CCM ishakataliwa.
Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka.
ACT TANZANIA uyu apa au? naona ameshikwa na tezi jike ya ubongo.