sir joshua
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 479
- 176
Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.
Watu wote hawa wanasema maoni yaliyopo kwenye rasimu hawayajui kamuulize warioba kayatoa wapi au kanisni kwa slaa.
wewe ni mmoja wapo na si ajabu ni simiyu yetu yule yule tabia na matendo yenu nikulidhalilisha jukwaa
kwa hiyo unataka tuchangie mambo unayoyapenda?
1. Ulitaka kanisani wajadili nini
2. Pinda alifuta nini kanisani
3. kwanini mashekh, wachungaji na maasikofu wamejumuishwa kwenyemchakato na wanamuwakilisha nani bunge la katiba?
4. katika swali namba 3, watakaporudi kutoka bunge la katiba watatowa feedback kwa nani na mahalagani watafanya hivyo
angalia ujinga wako kwenye comment yako hapa chini.
ukawa ni kisu cha kuichinjia ccm na matoto yake
Weee zero kabisa hujui hata correlation ya katiba na uwajibikaji kwa wananchi....jiulize kwa nn mpaka sasa hatuna permanent supply ya maji??? Akili za kupiwa na wauza unga weeeeHatuna shida na katiba kwa sasa siyo hitaji letu watanzania kwani katiba mpya ikipatikana wanawake hawazaa kwa uchungu au maji ya mifugo wetu na sisi wenyewe yatakuwepo kila sehemu?
Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.
Unakwama wapi wakati nchi nzima lami tupu.sasa kama ukweli unaujua mbona li chama lenu na li serekali lenu halitekelezi ahadi zake wamebaki kuiba kodi zetu na ku saini mikataba ya hasara kwa taifa?ktk hili ukawa wako sahihi wana wa nchi twataka katiba mpya pumb...aavu zenu.
Na serikali ya pemba mbona unaisahu.Kweli kabisa.. Serikali ya Tanganyika na serikali ya muungano yenye makao makuu UNGUJA.
Hili gazeti la udaku watatunga sana swaga hizi ila chagadema kinakufa dj ameiua kwa mikono yake mwenyewe.
Tatizo la wabunge wa ccm hakuna aliyetayari kusimamia ukweli na kuueleza hadharani kwa viongozi wao juu ya uchakachuaji wa maoni ya wananchi!
Na serikali ya pemba mbona unaisahu.
Ndio maana kuna baadhi ya waumini wa dini fulani husema Hao mapadre na maaskofu wanawahadaa watanzania. Maana hakuna sehemu katika vitabu vitakatifu inayoruhusu kiongozi wa dini kutosema ukweli eti kwa kuogopa utawala.Huyu bwana wa Assemblies of God yuko safi sana.
Hawa wakatoliki wangekuwa wawazi namna hiyo katiba mpya ingepatikana tena iliyobora.
tuujadili na kuusema ukweli, tukemee uwongo na unafiki na tuepuke kujipendekeza kwa watawala na chama chao.
...maji na shule mnaweza kuleta...? na aliyekwambia mbili zinatutosha ni nani...? wakati warioba,ofisi ya rais,makamu wa rais, waziri mkuu wameona tatu zatosha,wanafiki kweli nyie...Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.
Hili gazeti la udaku watatunga sana swaga hizi ila chagadema kinakufa dj ameiua kwa mikono yake mwenyewe.