Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Watu wameamka siasa zisizo na manufaa na maneno kama ya uke wenza watu wamechoka mie kifo cha UKAWA na baadaye CDM nilikitegemea kwa kuwa sasa hivi hawana cha kunadi,mwanaume kaingia kazini.Na EDO ndo aliingia kaanua matanga.
Kijana kwa sisi tulioshiriki uchaguzi 1995 tuliona wimbi lililotumwa kazi upinzani likirudi na kuponda upinzani,hii ilisababisha wananchi kupata picha kuwa upinzani ni usanii,watu waliamua kuendelea na CCM Mbowe katuuza,muda ukifika utagunduwa
Imepasuka sehemu kubwa sana? nataka niingie huko, huo upenyo naweza kupita?Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Tunataka utuambie wananchi wameacha kutozwa fedha hospitalini?, Dawa zipo?Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Nafikiri umesoma hotuba feki ya mwapachu,ukisoma magazeti hayo maneno hayapo,pili...ni wajibu wetu kueleza tunapoona wanasiasa wasanii iwe upinzani au CCM...,ajizi nyumba ya njaa....!Kwa hiyo na wewe ulikuwa mmoja wapo??Sasa kama usanii uko Upinzani kwanini mnawafuatilia??Ni mpuuzi tu ambaye ataiamini CCM maana Ujangili,Ujambazi,Wizi wa Mali za Umma vyote viko CCM na wanaofanya hayo ni CCM na Mwapachu amesema kwamba anarudi ili BIASHARA zake,ZA FAMILIA YAKE NA ZA WASHIRIKA WAKE zisiathirike,kwa mtu mwenye akili timamu wala huna haja ya kujiuliza mara mbili.
Ni bora kuwa Upinzani mara mia elfu kuli CCM .
Kwa sasa CCM ni chama kikuu cha upinzaniUkawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Nafikiri umesoma hotuba feki ya mwapachu,ukisoma magazeti hayo maneno hayapo,pili...ni wajibu wetu kueleza tunapoona wanasiasa wasanii iwe upinzani au CCM...,ajizi nyumba ya njaa....!
Yawezekana wewe ni kijana mdogo na hivo sikulaumu , historia inaonyesha huko nyuma sote tulikuwa ccm upende usipende. NA woote unaowaona leo wanaongoza mageuzi na upinzani nchini kwa namna moja au nyingine wamekuwa CCM.Makisudi ya ukawa yapo ila tumeruhusu mamluki kutoka ccm kuendesha ukawa,hii iliyopo haiendeshwi na majemedari walioiunda pale dodoma inaelekea kushoto badala ya kulia....wenye ukawa waliondolewa!
Unajua baàda ya kusoma uzi huu nikajiuliza huyu atakuwa ni msambaa gani mwenye akili za aina hii? Lakini ukichunguza sana waweza kuta ni kibarua wa kukata majani pale Mkuzi nyumbani kwa fisadi Kipipa (Lodi Lofa) na anafanya majaribio ya smartphone aliyopewa kuitumia kuripoti maendeleo ya garden mzee anapokuwa Masasi.Omary Kipingu nyie ni baadhi ya wasambaa wachache sana wenye akili za kushikiwa, wewe na yule Waziri wako na baadhi ya makapi machache, nakuomba usiwadhalilishe ndugu zangu akina Chakaza
Mwambie huyo na wenzake wote. Wakati ule tukiwa tunamaliza elimu ya sekondari kidato cha sita kabla ya kwenda vyuoni tulikuwa lazima tuende National Service kwa mujibu wa sheria, na huko ilikuwa lazima upewe kadi ya chama kwa maana kwanza chama kilikuwa kimoja. Jee watasema vijana wa wakati huo walikuwa wanaipenda CCM?Yawezekana wewe ni kijana mdogo na hivo sikulaumu , historia inaonyesha huko nyuma sote tulikuwa ccm upende usipende. NA woote unaowaona leo wanaongoza mageuzi na upinzani nchini kwa namna moja au nyingine wamekuwa CCM.
Hivyo unapomuona mtu kama Seif amewahi kufika ngazi ya waziri kiongozi, Lowassa waziri Mkuu, Mimi nimewahi kuwa katibu wa wilaya etc . Unapoona mtu akitoka Lumumba na kuhamia huku UKAWA ni uzalendo ktk nchi yake (wake-up )