Omary Kipingu
Member
- Feb 22, 2016
- 40
- 48
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
mbn el nae yupo mbioni tuHuyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Mwenye mvuto ni yupi ndovu lager master?Sasa kaa hapo usubili ukawa kama utaisikia tena, wenye akili washastuka gemu LA ukawa linaenda doda, hali tete, katibu mwenyewe mpya hana mvuto wa kisiasa wala mmashiko kwa jamiim
Wigo wa buku saba wazidi kuongezwa. Hata ukihadithia ulichoota wala.Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Makisudi ya ukawa yapo ila tumeruhusu mamluki kutoka ccm kuendesha ukawa,hii iliyopo haiendeshwi na majemedari walioiunda pale dodoma inaelekea kushoto badala ya kulia....wenye ukawa waliondolewa!Kaka UKAWA iko kwenye mioyo ya WaTz kwa sababu. Hizi mbwembwe za Lumumba zitapita lakini makusudi ya ukawa yatasimama.
Magufuli hata kama ni mzuri kumbuka ni mwanadamu. Taasisi zetu bado ni kubogoyo.
Mbona unawazungumzia CCMwalioamua kurudi kwenye chaka lao?ukawa asili bado tuko imara and watching uUkawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Leo amekuwa siyo chochote tena mbona alikuwa ndiyo ruru kwenye kampeni zenu kweli nyie viazi.Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Kijana kwa sisi tulioshiriki uchaguzi 1995 tuliona wimbi lililotumwa kazi upinzani likirudi na kuponda upinzani,hii ilisababisha wananchi kupata picha kuwa upinzani ni usanii,watu waliamua kuendelea na CCM Mbowe katuuza,muda ukifika utagunduwaHuyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.