University Task Force
UNIVERSITY TASK FORCE(UTF)
Hawa ni Wasomi wanaomuunga mkono Dr. John
Pombe Magufuli pamoja na ngazi zote za
uongozi( ubunge na udiwani)
: Ni wasomi wa kitanzania wanaojitambua,k
ujielewa na walioamua kukiunga mkono chama
chao (CCM) katika mbio za Urais, Ubunge na
Udiwani ili kuleta maendeleo na kuondoa
changamoto za wananchi katika Taifa letu.
: UTF ina mikakati ya kuwafikia watanzania wa
rika zote wanaostahili kupiga kura, kufanya
maamuzi sahihi ya kuchagua kiongozi/ viongozi
bora,waadilifu,waaminifu, watenda haki,watetea
wanyonge na wenye kujali maendeleo ya nchi na
kuifikisha nchi yetu pahala panapostahili
kimaendeleo.
: Wasomi wote watanzania ruksa kujiunga nasi
bila kujali ngazi ya elimu,itikati ya chama chako
ila uwe unamuunga mkono Dr. John Pombe
Magufuli kwa namna yoyote ile maana wengine
wako vyama tofauti lakin wanajua
uchapakazi,uadilifu,uteteaji wanyonge wa
Magufuli na wenye imani na Dr. John Pombe
Magufuli.
: Ukitaka kujiunga nasi
Tu follow
Instagram page
University_task_force
Twitter page
University Task Force@UniversityTF
Email.universitytaskforce@gmail.com
WhatSapp
+255 655248822