UKAWA wote nipeni majibu



okay. Siasa ipo hivi, mtu anaweza kuongea jambo fulani kwa malengo mawili, kwanza kujijenga kisiasa hata kama ni kwa kupotosha umma, pili kuelimisha umma kuhusu ukweli fulani. hivyo waliomnadi lowasa kuwa fisadi walikuwa na ushahidi gani wa matendo, nyaraka na hata video kuuzihilishia umma kuwa kweli lowasa alikuwa fisadi? pili lowasa alisema yeyote mwenye ushahidi nje ya ccm au ndani ya ccm aupeleke mahakani, je ni nani alifanya hivyo? hata kama ana lowasa anapesa je ninani aliyesubutu hata kuonyesha documents za ushahidi kuwa kweli lowasa na richmond ni samaki na maji? hivyo yawezekana chadema kupitia slaa walikuza chama kwa mgongo wa lowasa dhidi ya richmond. that why hata mwakembe na sitta walijitutumua kwa kumzuia lowasa kwenda ikulu kwa maneno bila hata documents zozote ingawa nao walikuwa kwenye kamati husika.. hivyo ingekuwa busara kama wangeongea kwa nyaraka zikionyesha kweli mtu huyu ni muhusika na siyo polojo za maneno kwenye media.
 
Tunasubiri awe wa kwanza kushitakiwa kwenye mahakama ya ufisadi inayoanzishwa.
 
Nilisoma mahali fulani kuwa mtu yeyote anathibitika mahakambani kuwa ni mkosaji, unatuthibitishiaje kuwa EL mwizi? Zaidi saana kwa mtazamo wangu ninaona ugunduzi wako umechelewa maana hauna suluhu. Kuhusianisha matokeo ya uchaguzi na tuhuma hizi kunaonesha ni kwa kiasi gani hujatafiti matokeo halisi ya kura walizopigiwa wagombea urais. Nashauri ujiongeze, tafiti zaidi ili uwe na majibu sahihi yanayotokana na utafiti huo badala ya kuwa kama mtabiri!!
 
Kama alishinda kihalali kwa nini polisi walikamata vijana wa IT wa CHADEMA na wale wa Haki Za Binadamu? Lengo si kuondoa aina yoyote ya ushaidi? Suala la Richmond Lowassa alijivua siku ile alipojiuzulu uwaziri mkuu.

Jibu Swali.
 
Juvenile.... The name itself means..
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…