UKAWA wote nipeni majibu

Tunaitwa nyumbu kwa sababu kila anachoongea mbowe sisi tunaunga mkono tu
 
Unazunguka mbuyu sababu mbili zinazo maanisha kitu kimoja?
 

hahaaha nashukuru umenisaidia kuuliza nilichotaka kuuliza
 

Muheshimiwa kama ukipewa nafasi ya kufundisha mjinga nina uhakika ataelewa vizur sna na asipojua milele awezi jua comment yko naomba nitumie kufundisha wengine
 
Nimekuelewa mtoa mada,wengi wanaijiita CHADEMA ni bendera fuata upepo,hawana fikra huru na ndio maana kuchambua yaendeleayo ndani ya chama au kusikiliza na hoja kinzani toka kwa Wana mabadiliko wengine imekuwa changamoto kubwa kwao.
To be honest CHADEMA imepoteza mwelekeo sasa hivi,hawaeleweki wanasimamia mini,Leo wanasema hiki halafu kesho utawaona wakifanya kitu tofauti kabisa. Wanahitahitaji kiongozi atakayerudisha self identity ya chama iliyopotea,wanatakiwa wawe na kiongozi atakayekuwa tayari ku_reshape the party's image and retool the party's message. Mbowe is completely washed up.
 

atakayetoa jibu la maana nimensheni nije kulisoma

Mkuu jibu ni jepesi sana,kama umewahi kufatilia waziri/waziri mkuu akiapa anakula kiapo cha kutunza siri za baraza la mawaziri hivyo usitarajie hata siku moja kwny maisha yako kumsikia Lowassa akijisafisha kuhusu richmond hadharani labda kwa amri ya mahakama,nilishangaa hata Dr. Slaa kudai Lowassa ajisafishe hadharan zaid ya kusema sihusiki huku akijua kiapo kinambana.
 
Kweli mbowe amewashika sana vijana wa bavicha,mimi kanikosa safari hii nmeshtuka,haiwezekani mtu walituambia ni mwizi,fisadi papa,leo eti awe msafi gafra

Kwaiyo unaona bora yule aliyekwambia sio mwiz 2008 na leo anasema ni jambazi kabs ebu chumbua yupi bora mana ata upande huo unaounga mkono nao umetoa kauli mbili sasa jaribu kazi ya majaji tuone watanzania ndo tabia yetu au vilema vya waliokua kwenye system
 
Kwa hiyo serikali ya ccm iliendelea kumlipa Lowassa fedha kupitia (Richmon baadae Dowans na baadae tena Symbion Powers) baada ya yeye kujiuzulu? Kama sio yeye aliyekuwa analipwa ni nani?

Kama kweli ni yeye mahakama zote ni za ccm, kwanini hawafungui mashitaka? Kikwete alitajwa na Lowassa siku aliyokabidhiwa kadi ya CHADEMA, kwanini hakukanusha mpaka siku ya mwisho wa kampeni? Alikuwa anahofia nini kumjibu kwa muda wote wa miezi mitatu (3) mpaka aje kulizungumzia tarehe 24 ambapo anajua hakutakuwapo tena muda wa kumjibu endapo atasema uongo?

Ukiamua unaweza kutafuta majibu ila kama pia unaweza kuendelea kuwa msukule wa kufuata kila kinachosemwa na ccm yako.
 
Mwanzo hata mimi niliaminishwa kwamba lowassa anahusika kwenye richmond , lakini baada ya kujionea richmond ndiyo symbion na kwamba obama alikuja kuizindua tena wakati lowassa kishawajibika , halafu pale kati hii hii richmond ikaitwa Dowans , nikatafakari halafu nikapima mwenyewe , maana wahenga walisema , hata kama kuona huwezi basi hata kupapasa umeshindwa ?
 

Ndugu hebu fikiri, kama richmond ni ya Lowasa iweje alipwe mpaka leo ilihali tayari ni mpinzani? na hiyo richmond ndio dowans na ndiyo Symbion, naona uvivu wako tu wa kufikiri
 
"kama unaushahidi nenda mahakamani kama huna shutup"ni kweli walishutup lakini waliongea kupitia ballot boxes-and now the shut up is twisted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…