UKAWA wavurugana kugombea majimbo

UKAWA wavurugana kugombea majimbo

Maudodo

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
30
Reaction score
16
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

Angalia kwanza mkutano usiwe na haraka!
 
Wavurugane kwenye majimbo lakini wakubaliane kuitisha mkutano mkubwa Jangwani! Can't see the logic.
 
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

mapesa ni hapana,hapana,hapana,ukawa,ukawa ngapi,ngapi?
 
Duh, kama ni kweli kazi ipo! Ukawa kama wanalipenda taifa hili ni vizuri kuhusu nani agombee wapi, ni vizuri wakateua tume ya kitaalamu kufanya utafiti kwa kila jimbo ili kujua nani na chama kipi kinakubalika! Nje ya hapo watavurugana na itakuwa ni furaha kwa ccm!
 
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

Kama huna cha kufanya na unaumia sana kuona ukombozi unakaribia,ungeenda kulala au ukacheki movie kupoteza mawazo,vinginevyo muwe mnadanganyana hukohuko ccm.
 
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

nawauliza ukiwa kama binadam mwenye akili timamu huna matatizo utaenda kwenye huo mkusanyiko wa UKAWA jangwani
 
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

Wanawakeee,Wanaumeee,CCM,Kwisha kabisa,Chaliiii,Mbendembende,Mlalo wa Mende
 
Mtajitahidi sana kuupotosha ukweli lakini ukweli utadhihirishwa mbele ya jamii hiyo hiyo mnayootosha,UKAWA ndio mpango mzima kuelekea 2015 kama kweli Watanzania tunataka mabadiliko katika nchi yetu.
 
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

Ngoja nikupe picha ya jangwani kwanza ili uende toilet ukaharishe
View attachment 196642
 
Mbona CCM wameanza kuweweseka mapema sana hata kabla ya kisu kufika shingoni.
 
Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo.

Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia makubaliano baada ya baadhi ya Viongozi wa vyama hivyo kutokubaliana na mgawanyo wa nafasi za kugombea katika maeneo kadhaa.

maeneo yaliyoonesha mvutano katika kikao hicho ni pamoja na JIMBO la Ubungo ambalo hivi sasa linashikiliwa na John John Mnyika wa Chadema. JIMBO hili pia linawaniwa na Julius Mtatiro wa CUF, Jimbo la Vunjo ambalo limeibua mvutano Kati ya James Mbatia wa NCCR na John Mrema wa Chadema pamoja na Jimbo la Kawe ambalo Mbatia anataka mtu wake ndo agombee badala ya Halima Mdee wa sasa.

mvutano Huo ambao umedhihirisha kuwepo kwa Hatari ya umoja Huo kudumu, umesitiswa baada ya wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja Huo kukaa kwa faragha na kuamua kuahirisha kikao hicho mpaka baadae wiki ijayo ili kupisha maandalizi ya mkutano wa Jangwan wa leo hii.

We rudi mlembe! hukupona vizuri namaanisha bado una uchizi
 
Back
Top Bottom