UKAWA watapatapa...


Hawajiamini.
 
CCM ndo wanatapatapa maana hadi leo hawajasema kale kamgao kengine kaescroo katika benk ya ... nani alichukua?? twiga wetu nani alipakia kwenye ndege?? Mwanzilishi wa Richmond ni nani?? Aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa ni nani????
 
Mapirobe sisi tunanadi sera ila ninyi ndio mnatapatapa kwa kutoa matusi na kashfa kwenye mikutano yenu. tume ya uchaguzi lazima tuiandame ili kuhakikisha kuwa inakuwa huru na haki na inasimamia uchaguzi bila kuwapendelea ninyi. toroka uje sio propaganda ya uongo bali ni msemo kama vile wenu wa kibajaji mpaka dodoma. ahadi kedekede ni kama zile anazotoa mgombea wenu ambazo pamoja na serikali aliyokuwemo kushindwa kuzitekeleza bado mnawahadaa wananchi ati mtawapa milioni hamsini kila kijiji. hospitali hazina madawa wala vifaa tiba, skuli hazina madwati wala vifaa vya kufundishia lakini mnatudanganya ati mtatupatia milioni hamsini. mtazitoa wapi? au mtapewa na mafisadi wenu wa EPA na ESCROW ambao mmewapitisha wagombee ubunge? KWELI MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA NA NDIVYO MLIVYO HAMUACHI KUTAPATAPA KWANI TOROKA UJE NI SLOGAN YETU NINYI INAWAWASHIANI? Ninyi endelezeni matusi na kashfa sisi tunawaomba wananchi kura na oktoba 25 ndio utajua kuwa asali sio nta.
 
Wewe unapumulia mashine ,kaa kimya 25 okt hiyoooooo
 
Unajua cku zote unaambiwa Mfa maji haishi kutapa tapa, ndo ukawa sasa wanajua kabxa October wanachinjwa ndo maana wanajiham mapema
 
We endelea tu kujidanganya....Sisi tunasonga mbele na LOWASSA.
 
Mkuu Mbona Hiyo Kubandika Matokeo Ya Urais,mnyika Mwenyewe Alisema Ipo Kwenye Sheria Kabisa So Sio Kitu Cha Kujisifu Eti Wamejenga Hoja Wakati Kisheria Ipo Hiyo...
Ilitungwa lini na kwanini ilikuwa haitumiki? huoni kuna kitu nyuma ya pazia kabla
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…