UKAWA watapatapa...

Twaweza walisha sema vijana wengi wano unga mkono ccm ni majuha na mkitaka kuamini hilo lipo wazi angalia jinsi ccm inavyo wabania wanafunzi wa university wasipige kura maeneo waliyo jiandikisha !
 
Ndorobo wee huoni wanavyojenga hoja na kusikilizwa kama kubandika matokeo ya urais nk
 

Washausoma upepo hali si shwali tena UKAWA
 
Ukawa washajua kifatacho wanakwenda kula njiti ..mwisho wa siku wataiomba NEC iwaondoe CCM kwenye uchaguzi labda ndo watapumua
 
Kwani aliyekuja jukwaani kulalamika kuwa amepewa MAKAVU Mbeya ni ukawa?

Halafu nikurekebishe: CCM haina uwezo wa kujaza watu mikutanoni, ni Diamond na YaMoto Band ndio wanajaza watu. Thubutu muwaache nyuma uone kama hamkubaki na watoto wa shule mliowaleta kwa lazima bila kujali wanakosa vipindi
 
Tunataka umeme sio ngonjera zenu

Kamwambie Lowasa kwani hujui yeye na kundi lake ndio wamelifilisi shirika la Tanseco? mpaka limekua na hali ngumu kwa mkataba mbovu wa Richmond
 

Kwani lowasa kafisadi leo? Au huu mgao kwenu umeanza toka kipindi lowasa anafisadi?
#Bringbackourpower
 
Na watalia na kusaga meno baada ya JPM kuapishwa!!
 
Ukawa washajua kifatacho wanakwenda kula njiti ..mwisho wa siku wataiomba NEC iwaondoe CCM kwenye uchaguzi labda ndo watapumua
Maccm mwaka huu tena!? Hapana sema hapana kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Tumewavumilia sana kwa madudu yao miaka yote, sasa tuseme basiiiiii. Chagua Ukawa chagua Lowassa.
 

Huu uchaguzi upite tu maana naona kuna watu mmewekeza hisia zenu zote. Sijui ndio panic...
 
Ukawa hawawezi kuchukuwa madaraka kwa kipindi hiki maana hawajajipanga vzr wanasuasua labda kwa zaidi ya miaka km kumi.
 

Kilizi namba 1 ni Mbatia;
Akifuatiwa na Mnyika.
Mbatia alilia we akituaminisha kuwa watu hawataandikishwa BVR.
Akidai haiwezekani.
Katunisha misuli weeee.

Nchi nzima watu wameandikishwa. Ambaye hakuandikishwa ni mzembe tu. Isipokuwa labda wale waliokuwa wagonjwa au waba dharura ya msingi.

Akaanza tena kulia lia..ohoo tume wataiba ooojhoo...Mzee Lubuva kasema taabu iko wapi. Unapiga tunahesabu hapo hapo...

Mara sasa hivi ohoo eti huyu mama anataka kuniua...ha ha Mbatia auawe...hata akifa au akijitoa Ukawa leo...athari yake ni ndogo kuliko harufu ya nanihiii.
Kisa mama katunisha msuli na kumkosoa hadharani.

Watu wamekuwa wakulialia tu.

Kha!
 

Tulisikia mengi humu ndani kuhusu mkakati mzito Wa ukaw wa toroka uje na tukaambiwa viongozi waandamizi wa ccm kama kumi hivi wataamia ukaw mpaka leo zimebaki siku 22 hakuna aliyeturoka wala aliyekuja. Sana sana tunasikia wanakanusha tu. Na kwenye majimbo mengi kampeni hazijafanyika neno zuri unaloweza kusema hapa ni ukaw sasa wanatapatapa na mgombea ameanza kuugarimu umoja. Kazi kwenu
 

Ukiona hivyo ndo ujue wameshaona wanaelekea kushindwa so chakufanya ni kutafuta huruma za wananchi
 
Ukawa ni aina ya dawa inatibu na
kutokomeza ugonjwa wa CCm na
kukuwezesha kupata kinga ya
mwili aina ya mabadiliko...
 

Wanalialia kwa sababu hawana Sera.
 
Twaweza walisha sema vijana wengi wano unga mkono ccm ni majuha na mkitaka kuamini hilo lipo wazi angalia jinsi ccm inavyo wabania wanafunzi wa university wasipige kura maeneo waliyo jiandikisha !

Mkuu Unauhakika Gani?Onyesha Ni Wapi Wamewabania Wasipige Kura?
 
Ndorobo wee huoni wanavyojenga hoja na kusikilizwa kama kubandika matokeo ya urais nk

Mkuu Mbona Hiyo Kubandika Matokeo Ya Urais,mnyika Mwenyewe Alisema Ipo Kwenye Sheria Kabisa So Sio Kitu Cha Kujisifu Eti Wamejenga Hoja Wakati Kisheria Ipo Hiyo...
 
Wanaugua election fever na kifo chao ni oct. 25
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…