UKAWA watapatapa...


Hawa ukiwa wanatapatapa hadi inatia aibu,vijana wao huku JF nao viroba vinawasumbua, ni shida.
 
walianza wenyewe wanamaliza wenyewe Magufuli alianza na Mungu na Anamaliza na Mungu wooow Ikulu njia nyeupe

Mungu yuko upande wa magufuli
na atashinda kwa kishindo.
 
hii habari ya ukawa kuanza kutapatapa nimeanza kuisoma since February, sasa sijui tukio la kutapatapa huwa linaanza na kuachwa mara ngapi kwa mwezi?? Just last week mlileta the same thread...

Mkuu una uhakika wameanza kutapatapa??

Ww n kipofu?
Huna macho?

Huon wanatapatapa?

Ninalia na watengenezaji wa Viroba Tanzania na kuwapa watoto wadogo ambao hawajafikia umri wa miaka kumi na nane
 
Hawa ukiwa wanatapatapa hadi inatia aibu,vijana wao huku JF nao viroba vinawasumbua, ni shida.

Tangu asubuhi ya leo nalia na watengenezaji wa viroba ambao wanawaruhusu watoto wadogo walio chini ya miaka 18 kutumia viroba
 
Heeeee patamu hapo wameshaishiwa sera hao imekula kwao Ukawa kwishnehi

Kweli nyani haoni kundule,anayelalamikia UKAWA kutapatapa kumbe yeye ndiye anayetapatapa na mwenye urapurapu na ufinyufinyu wa mawazo!!
 

Bodaboda wengine bhana
Umejikaza kabisa ukajua umeandika kitu cha maana
Kumbe ----- mtupu


Vipi umelipwa lakini ile 20,000/= yako uliyojifanya umezimia tanga?
 
Bodaboda wengine bhana
Umejikaza kabisa ukajua umeandika kitu cha maana
Kumbe ----- mtupu


Vipi umelipwa lakini ile 20,000/= yako uliyojifanya umezimia tanga?

Utaishia hivyohivyo hujui kama unaongea na Engineer, Mi sina njaa ndogondogo kama zako.
 
Wala haujaeleweka, ila matusi ya Nape na Bulembo ndio umeyaelewa, sio?
 


Kijana unaonekana umetumwa,na kwa bahati mbaya umesahau cha kuongea umejikuta unaongea haya.Halafu mbona kama vile uliishia kidato cha 3?
 
Kitu kimopja cha kushangaza ni kuwa hawa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wakifika mikoani wanafanya mikutano 2 au 3 alafu wakiikumbuka tume ya uchaguzi wanarud Dar kuja kuipigia kelele. Kama mnaacha kutafuta kura kila siku nyie nikuitaka tume ya uchaguzi ilinde kura mnataka ilindekura gani ambazo hamjazitafuta? nendeni kapiganeni mikoani alafui kazi ya kulinda kura waachieni mawakala wenu na tume, au hata nao hamuwaamini? Kama mnajua kua kura zinaibiwa kwanini hamuendi mahakamani?
 

Kutapatapaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Toroka uje, acha uzembe utakamatwa ugoni, lowassa ni kikomo chao CCM
 
Mwl Nyerere alitupa elimu ya lazima ili kufuta ujinga, na ujinga wenyewe uliokataliwa na Mwl ndiyo huu unaoenezwa na ukawa majukwaani.
Asante baba wa Taifa, umetupa elimu sahihi tunamkataa EDO
 
Ukweli ukawa hawana ushawishi kwa mtu ambaye hana chama . siasa zao ni zakukalilisha.walikuja na sera ya mafisadi wakawakalilisha wananchi wakakubalika sasa hivi wanawakalilisha mabadiliko. Huu mda ni mchache kwa mtu ambaye hana chama kuwakubali sio lahisi.kwanza ataanza kuhisi kama jamaa ni waongo waongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…