UKAWA watafanya nini wakishindwa uchaguzi

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,575
Reaction score
12,368
Unahisi Nini kitatokea baada ya matokeo ya urais kuwa Lowassa kashindwa uchaguzi oct 25?
 
Ndiyo kusambaratika tena na ndilo linalofuata,hivi unadhani ukawa Watashinda?,sisi tupo utaniambia,hata wabunge watakuwa wachache tu kwa ukawa
 
11214272_473820319466832_1453261522986106986_n.jpg
 
Unahisi Nini kitatokea baada ya matokeo ya urais kuwa Lowassa kashindwa uchaguzi oct 25?

wazi la kushindwa liko ccm kwan had saaasa hakuna mlichofanikiwa zaid ya kushindwa.

cc:
katba mpya chali
kilimo kwanza chalii
elimu chaliii
afyaa chalii
thaman ya sh.chalii
miundombinu chalii
ufisadi chalii
uongoz chalii
ajira chaliii
ajira chaliii
michezo chaaliii

so jiandaeni kwa chalii kweny uchaguz mkuu huu hapo oct 25.
CCM NI MA MTU YA KUFELI KILA KITU.
JIANDAENI KISAIKOLOJIA
 
tuulize magamba yatafanya nini yatakaposhindwa uchaguzi
 
wazi la kushindwa liko ccm kwan had saaasa hakuna mlichofanikiwa zaid ya kushindwa.

cc:
katba mpya chali
kilimo kwanza chalii
elimu chaliii
afyaa chalii
thaman ya sh.chalii
miundombinu chalii
ufisadi chalii
uongoz chalii
ajira chaliii
ajira chaliii
michezo chaaliii

so jiandaeni kwa chalii kweny uchaguz mkuu huu hapo oct 25.
CCM NI MA MTU YA KUFELI KILA KITU.
JIANDAENI KISAIKOLOJIA

Lowassa vipaombele vyake :
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu

Kama kuna siku kazungumzia katiba mpya ni lini na wap??
 
[h=1]Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa?[/h]By Yericko Nyerere

"Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa "Lowassa ni MWIZI anautajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi tu akiwa mkurugenzi wa AICC?"
Ikumbukwe nikuwa hoja hiyo ya Mwalimu Nyerere ilikuja baada ya Lowassa na wapambe wake kukodi ndege binafsi kutoka Arusha kwenda Dodoma kuhudhuria vikao vya uteuzi wa urais mwaka 1995, kitendo hiki kilimfedhehesha sana Mwalimu na wazalendo wengine na hata kufikia kuliondoa jina la fisadi huyu nguli wa Tanzania,
Je leo utajiri wa Lowassa umekuwa halali?
Mamlaka ya mapato Tanzania inaweza kututhibitishia uhalali wa kodi alipayo mtu huyu?
Tangu afukuzwe uwaziri mkuu mwaka 2007 taarifa za kuaminika kutoka vyanzo muhimu nikuwa Lowasa alitenga 12bilioni kwaajili ya kujitakasa, ambapo mpaka leo hii ameshatumia 8bilioni, je pesa hii ameipata wapi? Imelipiwa kodi kiasi gani? Atairudishaje akiwa rais?
Ili kuhuisha mjadala huu hebu niwaeleze jambo mhimu dhidi ya mtu huyu aitwae Edward Ngoyai Lowasa,
Labda niwaelekeze watafiti watafute faili la EL la enzi za TANU pale Lumumba. Mzee Paul Sozigwa suala hili analifahamu fika.
Ndiyo, Mwl. Nyerere alichukizwa na tabia ya Lowasa ya kujitajirisha kwa kuiba mali ya umma. Lowasa, licha ya tuhuma za wizi enzi akiwa AICC, kujimilikiaha majumba ya Masajili wa Majumba wakati akiwa waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mijini, Mwl. Nyerere alikuwa akifahamu wizi wa Lowasa tangu enzi za TANU. Kati ya mwaka 1974 na 1977 Lowasa aliiba pesa za TANU alizopewa kusamia ujenzi wa ofisi ya TANU Arusha. Badala ya kujenga ofisi ya TANU Lowasa alinunua kiwanja na kujenga nyumba yake binafsi. Jambo hilo lilipogundulika mwaka 1982, lilimkasirisha sana Mwl hivyo kuamuru afukuzwe kwenye chama. Ni marehemu Edward Moringe Sokoine ndiye alimwombea msamaha kwa Mwl. Nyerere abadilishiwe adhabu. Edward Lowasa alipewa adhabu mbadala; kuhudhuria kazini Ofisi Ndogo ya Chama Mtaa wa Lumumba kila siku bila kukosa, kuwa kazini masaa 8 bila kutoka lakini bila kupangiwa kazi yoyote hadi Chama kingeona ametubu na hatimaye apangiwe kazi nuingine. Lowasa alitumikia adhabu yake hadi Sokoine alipofariki.
Hiyo ndio sababu kuu ya Mwl. Nyerere kumkatalia Lowasa kugombea urais.
Kikwete, Mkuchika, Twaa Khalifan, Kinana, Bagenda na Msekwa wanajua ukweli wotekuhusiana na jambo hili. Ila maadamu kwa sasa hakuna tena maadili ya uongozi wa kisiasa nchini Tanzania, Lowasa anaweza kuachiwa awatawale wezi, wala rushwa na mediocre wa nchi hii.
 
[h=1]Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa?[/h]By Yericko Nyerere

“Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ni MWIZI anautajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi tu akiwa mkurugenzi wa AICC?”
Ikumbukwe nikuwa hoja hiyo ya Mwalimu Nyerere ilikuja baada ya Lowassa na wapambe wake kukodi ndege binafsi kutoka Arusha kwenda Dodoma kuhudhuria vikao vya uteuzi wa urais mwaka 1995, kitendo hiki kilimfedhehesha sana Mwalimu na wazalendo wengine na hata kufikia kuliondoa jina la fisadi huyu nguli wa Tanzania,
Je leo utajiri wa Lowassa umekuwa halali?
Mamlaka ya mapato Tanzania inaweza kututhibitishia uhalali wa kodi alipayo mtu huyu?
Tangu afukuzwe uwaziri mkuu mwaka 2007 taarifa za kuaminika kutoka vyanzo muhimu nikuwa Lowasa alitenga 12bilioni kwaajili ya kujitakasa, ambapo mpaka leo hii ameshatumia 8bilioni, je pesa hii ameipata wapi? Imelipiwa kodi kiasi gani? Atairudishaje akiwa rais?
Ili kuhuisha mjadala huu hebu niwaeleze jambo mhimu dhidi ya mtu huyu aitwae Edward Ngoyai Lowasa,
Labda niwaelekeze watafiti watafute faili la EL la enzi za TANU pale Lumumba. Mzee Paul Sozigwa suala hili analifahamu fika.
Ndiyo, Mwl. Nyerere alichukizwa na tabia ya Lowasa ya kujitajirisha kwa kuiba mali ya umma. Lowasa, licha ya tuhuma za wizi enzi akiwa AICC, kujimilikiaha majumba ya Masajili wa Majumba wakati akiwa waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mijini, Mwl. Nyerere alikuwa akifahamu wizi wa Lowasa tangu enzi za TANU. Kati ya mwaka 1974 na 1977 Lowasa aliiba pesa za TANU alizopewa kusamia ujenzi wa ofisi ya TANU Arusha. Badala ya kujenga ofisi ya TANU Lowasa alinunua kiwanja na kujenga nyumba yake binafsi. Jambo hilo lilipogundulika mwaka 1982, lilimkasirisha sana Mwl hivyo kuamuru afukuzwe kwenye chama. Ni marehemu Edward Moringe Sokoine ndiye alimwombea msamaha kwa Mwl. Nyerere abadilishiwe adhabu. Edward Lowasa alipewa adhabu mbadala; kuhudhuria kazini Ofisi Ndogo ya Chama Mtaa wa Lumumba kila siku bila kukosa, kuwa kazini masaa 8 bila kutoka lakini bila kupangiwa kazi yoyote hadi Chama kingeona ametubu na hatimaye apangiwe kazi nuingine. Lowasa alitumikia adhabu yake hadi Sokoine alipofariki.
Hiyo ndio sababu kuu ya Mwl. Nyerere kumkatalia Lowasa kugombea urais.
Kikwete, Mkuchika, Twaa Khalifan, Kinana, Bagenda na Msekwa wanajua ukweli wotekuhusiana na jambo hili. Ila maadamu kwa sasa hakuna tena maadili ya uongozi wa kisiasa nchini Tanzania, Lowasa anaweza kuachiwa awatawale wezi, wala rushwa na mediocre wa nchi hii.

Hii kaandika Yericko Nyerere kweli??
Huyu jamaa si mkuu wa propaganda wa Chadema???
 
Sasa namkubali Mzee Pinda kwa asilimia 97.5.Huyu Mzee amekaa kimya ana angalia tu.Hata ile kumnadi Magufuli naona kama alijitoa kimasomaso tu.Huyu Mzee ni mwenye huruma na busara.simshauri atoke chamani lakini namuomba awape ushauri NEC na wagombea pamoja ba vyama vyao pia mgombea binfsi DrSlaa kwa nafasi isiyojulikana sasa
 
Back
Top Bottom