The Worshiper
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 302
- 89
Njia ya mwongo ni fupi. Huyo bwana Matefu kama kweli anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke mahakamani au cho chote kinachohusika na UZUIAJIA WA PESA CHAFU? Anatakiwa aeleze hizo pesa ziliingia kupitia acc ipi na lini. Siyo kubwatuka bwatuka tu na KUKATUMIA KARADIO KAO KA CHAMA KULETA HEWANI UPUUZI KAMA HUU.Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.
Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.
Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.
Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.
Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.
Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.
UVCCM hali bado tete
Matefu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutoka katika Mkoa wa Morogoro alisema mwenyekiti wa chama, anapaswa kutengua matokeo hayo kwa kuwa uchaguzi ulikithiri kwa vitendo vya rushwa.
Alisema katika uchaguzi huo wajumbe waliopiga kura walizidi nusu ya wajumbe wote 700 walioshiriki uchaguzi huo.
Alisema jina lake liliondolewa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba kitendo hicho kilifanywa na baadhi ya makada wa UVCCM.
Endapo hakutakuwa na hatua itakayochukuliwa na mwenyekiti, basi sisi tutakwenda katika Mkutano Mkuu wa Chama Taifa (NEC) utakaofanyika Novemba 6 mwaka huu kupinga usifanyike hadi pale hatua itakapochukuliwa, alisema Matefu.
Matefu alikiri kuwaandaa vijana waliojitokeza wakiwa na mabango ya kupinga ushindi wa mwenyekiti mpya wa UVCCM, wakati utambulisho wa ugeni huo katika ofisi za makao makuu ya UVCCM.
Sherehe za kuwakaribisha viongozi wapya ziligeuka uwanja wa vita baada ya makundi yanayopingana, kuchapana makonde hadharani na kuwaacha umati wa watu wakiwashangaa.

Wiki iliyopita, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa UVCCM mjini Dodoma, kundi la vijana kutoka mikoa mbalimbali walipinga vitendo vya rushwa huku wakiwatuhumu viongozi wa UVCCM na baadhi ya makada wa chama hicho kwa kuhusika.
Huyo Matefu anajua uhusiano wa Oman na Tanzania na haswa rais anayetawala kwa sasa.
Huu ni ujinga kabisa hakuna nchi ambayo inaweza kutetea hii rasimu ya Warioba kwani kwa jinsi ilivyo itawanyima fursa ya kuendelea kutuibia kwa hiyo Chama ambacho kinaweza kufadhiriwa na kinafadhiriwa ili kuvuruga mchakato huu ni CCM kwani wanapingana na maoni ya wananchi ambayo kiuhalisia ni kikwazo kwa wezi wa rasilimali zetu.
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.