UKAWA wanaogopa mpaka wanafunika TV zao

Mr chin utahangaika sana.chukua chako mapema usije kuumbuka.ccm nafasi yake ni jumba la makumbusho na sio ikulu.tumechoka njoo arusha ujionee.nenda moshi ujadithiwe mwanza mbeya Dsm usisahau !
 
Sasa nina mashaka na umri wako. Mwanzo nilidhani una taahira, lakini taahira naye ana viwango vyake
 
hiyo ni kudhihirisha watanzania tulivyoichoka ccm..
 
Ccm wanakelele sana hivi tar 25 si imekaribia basi tukutane siku hiyo
 
Duh, hizi kampeni sasa afadhali ziishe tujue moja.
 
Upumbavu huu na ushenzi huu unawekwa Jf ,
ubora wa Jf unashuka kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…