Mbatia: Tuko pamoja tunaendelea vizuri ndani ya UKAWA hakuna mgogoro wala mgongano -
Mbowe: Hatuna imani na tume ya uchaguzi kutushawishi kuwa ina nia njema na uchaguzi wa mwaka huu. Imekuwa na usiri mkubwa wa kiutendaji
Mbowe: Itafanya mikakati kwa hila kuisaidia ccm, kwa hatua ya sasa mwenyekiti wa tume hastahili kuwa ofisini ana cheza na amani ya nchi .
Mbowe: Mpaka sasa haijatoa ratiba ya kuandikisha kwenye vituo vyote, haijulikani mpaka sasa uandikishaji unaishia lini.
Mbowe: Wale wanao piga ramli kuwa ukawa itavunjika watasubiri sana! Hauvunjiki.
Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga
===================