UKAWA wamepoteza dira

Hivi ilani ya uchaguzi nini..?! Hi elimu ya kukariri imetuharibu sana..matatizo ya tanzania hata nikikurupushwa usingizini nayataja na solution zake vizuri..ndo maana nasema ccm inatakiwa kufutwa tanzania tuanze upya

Kwa hali hii hata waalim wataanza kuhoji umuhimu wa kuandaa lesson plan na scheme of work
 

.....panic
......panic ......panic .....panic

Umechanganyikiwa.?

Hauleweki nikama umeleta ngonjera

Leta hoja sio viroja
 

Naona unawazia mabaya dhidi ya UKAWA. Unasahau kuwa UKAWA ni watanzania wazalendo wenye uchungu na Tanzania yao.
Mpaka sasa kila kitu ndani ya UKAWA kinakwenda vizuri kabisa. UKAWA ni watu wa vitendo na sio porojo tupu kama CCM.
Endelea kusubiri hivyo hivyo mpaka 26/October/2015 uje tena hapa hapa kusema tuone UKAWA kama wataweza kuongoza serikali.
 

Go back to school
 

Huwezi kuwa umeichoka CCM ukasema maneno haya!
 
Post safi sana hii. Big up mtoa mada.
 
UKAWA ya wazalendo haipo tena. UKAWA imekuwa kama ukumbi wa starehe ulioingiliwa na mmasai mwenye rungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…