UKAWA wamepoteza dira

Baada ya magufuli kutangazwa, wiki mbinu zile mlikuja na thredi ka hizi.
 
Tuko the masters of the game! Kwenye timu yenu ya kampeni tumeona wanafunzi tupu! Pale hakuna master! Mnamjazi pombe 40 papers badala ya 6?

Endelea kufuatilia mchezo, leo tupo day one mchezo unaendelea!

Nyie bana mawazo yenu mtapiga sana El akiwa rais,,,
karibu kila team el anawaza kupiga ,,,, nyie hatari sana.

Jambo jema ni kuwa atakatwa tena.
 

Lowassa atakatwa kwa mara nyingine.
 
Hatimae kimelia pyeeeee!

Ok! Magamba poleni kwa kupoteana kwenye mchezo! Silaha zenu zipo hadharani, za ukawa hamzijui! Hili linawatesa sana! Mmeanza kupanic mapema! Hizi ni mbinu za kimichezo, bahati mbaya sana mgombea wenu sio mtu wa mikakati!

Tunakukumbusheni kuwa JK wenu tulimtia madarakani 2005! Anamjua Lowassa ni nani. Imefikiwa sehemu picha halisi anaziita photoshop! Its amazing! Endeleeni kufuatilia mchezo tafadhalini sana!
 
Ufunguzi wa kampeni wapi wakuu? Mbona mnatuacha njiapanda mashabiki.
 
Jimbo moja tumeshapita bila kupingwa
 
Kwa asiekumbuka, kinana alikuwa kampeni meneja wa kikwete 2010. Wote wanaofutilia siasa inaaminika Dr slaa alishinda na kuporwa ushindi wake! Leo tena kinana ndio kinara wenu, another failure again!
 
Tumeshinda jimbo moja tayari. Nyie vip
 
Mutatuelewa tu taratiiiiibu CCM oyeeeeeeeeeeh
 
Kamanda relax!

mkuu 2po pa1 sana mkuu huku sisi tunaendeleza kipiga kazi na mzee ana uakika wa 100% kuingia ikulu

25 oct watatafuta shimo la kuingilia, vijana wamekasirika sana kwa kudharauliwa na walewa madaraka kwa kuitwa wanywa viroba,

yaani hapa tunafuraa sana maana kazi inaenda good,
 
watakoma sana stress hazitawaisha mwaka huu maana mgombea wao anazidi kutetemeka tu kama bloiler kazubaaaaa afya inazidi kutetereka kwa msongo wa mawazo #NA_BADO
 
Ilani, sera, mbiu ya mgambo na chochote unachotaka ni............CCM go out.

Hata UKAWA wasipofanya kampeni, mimi naikataa CCM
 
Stupidity of the highest magnitude! Miaka 54 mbali na kua na ilani hamjui sababu za umaskini uliokithiri. Ilani sio chakula!
 

Umepanic ndugu! Huwa mnajitekenya na kujichekesha wenyewe, ila mnapopigwa Suprise hadi Mwenyekiti wenu Taifa naye anapata kizunguzungu! Pole na Hongera kwa kufurahisha genge though!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…