Kwa kiswahili cha kawaida kabisa tunasema mambo ya UKAWA yanaenda segemnege!! Ngoja kampeni zianze muone watakavyochanganyikiwa. LABDA MIMI NISEME kwamba ndani ya kipindi cha kampeni UKAWA watafarakana na mfarakano wao utakuwa mkubwa sana! LABDA MIMI NISEME NENO MOJA, UKAWA ipo ukingoni!Leo CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,
1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.
2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.
3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.
4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.
5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.
6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.
7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic
8. Wakati leo wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya
9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.
10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu jana wote walienda. Wamechanganyikiwa.
#Acha wafu wazikane.
Kwa kiswahili cha kawaida kabisa tunasema mambo ya UKAWA yanaenda segemnege!! Ngoja kampeni zianze muone watakavyochanganyikiwa. LABDA MIMI NISEME kwamba ndani ya kipindi cha kampeni UKAWA watafarakana na mfarakano wao utakuwa mkubwa sana! LABDA MIMI NISEME NENO MOJA, UKAWA ipo ukingoni!
Akiwekwa Mtu yeyote wa ccm na kivuli nitachagua kivuli.
Hawa watu hawajielewi kabisa yaani wapowapo tu
Leo CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,
1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.
2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.
3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.
4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.
5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.
6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.
7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic
8. Wakati leo wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya
9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.
10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu jana wote walienda. Wamechanganyikiwa.
#Acha wafu wazikane.
hakuna jipya na mtabadilisha tarehe mara nyingi tu mwaka huu maana hamjajipanga mmezoea ku copy ya ccm tu,sasa mme fail mwaka huu......Mmeanza kupoteana, ile mnahamaki tu tupo nyavuni!
Mchezo unaendelea, endelea kufuatilia!
Mkuu yaani walipo succumb kwenye masharti ya EL kwamba anapita bila kupingwa na mtu yeyote nikaona basi tena hawa ndio hivyo tena si riziki. Hivi watawaambia nini watanzania? Walikuwa na kete ya kupinga ufisadi kwa ssa hawawezi kuthubutu kulisema hilo; walikuwa na kete ya kwamba wao wana demokrasia lakini hili nalo hawawezi kulisema kwa kuwa wameomyesha wazi kwamba hawana hata chembe ya demokrasia ndani ya chama!Mkuu mi nimechoka na CCM ila kwa ujuha huu wa Ukawa nasema acha tuweke mabadiliko on the back burner na tuanze upya!
Hawa akina Mbowe ni walaghai, wachumia tumbo na mafisadi! Na sasa inadhihirika kuwa walishindwa kwa miaka 20 kuimarisha chama as an institution.
Wanawasema CCM na mwenyekiti kuja na majina mfukoni, alafu mwenyekiti wao Mbowe anafanya udikteta mkubwa zaidi kwa kunyima hata nafasi ya kugombea kwa wengine isipokuwa mgombea wake kupita bila kupingwa.
Sasa institution gani haina hata Ilani na kampeni inaanza kesho?
Chama kichanga kama ACT ina ilani na imeiweka kwenye mtandao.
Chadema na Ukawa kwa ujumla kwisha habari yao!
Umepanick brother
Wenzenu japo walikuwa na kasera ka kupinga ufisadi lakini mmeenda kuwaharibia sherehe! Hawana cha kusema zaidi ya kusema Watanzania wanahitaji mabadiliko! Mabadiliko yapi sasa, hakuna wa kuyasema hayo mabadiliko!Mmeanza kupoteana, ile mnahamaki tu tupo nyavuni!
Mchezo unaendelea, endelea kufuatilia!
Hivi ilani ya uchaguzi nini..?! Hi elimu ya kukariri imetuharibu sana..matatizo ya tanzania hata nikikurupushwa usingizini nayataja na solution zake vizuri..ndo maana nasema ccm inatakiwa kufutwa tanzania tuanze upya