It is absolutely true.
Haiingii akilini kwa huyo mdada ambaye anasemekana ana PhD ya sheria, halafu ashindwe kuielewa principle ya natural justice inayosema Man can not be a judge on his own case.
Yeye akiwa Mtuhumiwa no. 1 katika sakata lililosababisha wabunge wa Ukawa watoke bungeni na yeye tena ndiye anakuwa Hakimu wa kuwahukumu wabunge hao hao.
Katika hali ya kushangaza mno kwa huyo mdada anayebesabika kuwa miongoni ya wanasheria wakubwa kabisa hapa nchini, siku ya kwanza anatoa uamuzi kuwa kanuni za Bunge haziruhusu kumkata posho yake Mbunge aliyesaini mahudhurio bungeni na kesho yake tu anatengua uamuzi wake na kusema ni lazima posho hizo za wabunge zitafyekwa!
Ni dhahiri huyo Naibu Spika atakuwa anaendeshwa kwa remote control iliyopo Magogoni.