East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa viongozi wa UKAWA walihongwa na baadhi makundi yanayotaka uraisi bara na zanzibar 2015 ili katiba mpya isipite ibakie ile ya zamani ambayo ndio waiona ina maslahi kwao.Sababu sheria inasema endapo katiba mpya itakuwa bado katiba ya zamani itaendelea kutumika.
Makundi hayo ambayo ni makundi maslahi yanataka yapate uongozi kwa mfumo wa katiba ya zamani hivyo yalitoa mabilioni ya hela kwa viongozi wa UKAWA ili warubuni watu wao kwa hela na vitisho ili mchakato wa kupata katiba mpya ukwame.
Siri imefichuka baada ya wabunge wengine kususia na kuendelea kubaki ndani ya bunge la katiba baada ya kushindana dau ambapo baadhi walitaka wapewe hela nyingi ambazo viongozi wa UKAWA hawakuwa tayari kuwapa kutokana na kutaka kuwadhulumu tofauti na viwango ambavyo wafadhili walitoa.
Hoja za kutunga UKAWA ilizokuwa ikishupalia ilikuwa ni danganya toto jinga baada ya kufukia maburungutu ya hela kwenye makoti.