UKAWA wakutana kwa dharula

Uhuru na Haki ni vitu viwili tofauti, wanaposema uchaguzi ulikuwa wa haki siwaelewi kabisa.

HUU NI UJINGA WA KIBINAADAM
 
Wakubali tu kuwa wamepigwa pabaya hasa baada ya kupokonywa documents zao.
 
Nadhani ripoti hii itapendeza ikiwa na sehemu zifuatazo
- kubaini wapiga kura: kuandikisha na kutunza daftari/database (kama ilikuwa haki, trasnparent, usalama na amani)
- kufanya kampeni na kuelimisha wapiga kura(kama ilikuwa haki, trasnparent, usalama na amani)
- kupiga kura (kama ilikuwa haki, trasnparent, usalama na amani)
- kuhesabu, kujumuisha matokeo (kama ilikuwa haki, trasnparent, usalama na amani)
- Kutangaza washindi ngazi zote, diwani, mbunge, rais (kama ilikuwa haki, trasnparent, usalama na amani)

Mchango wa vyombo vya dola, habari, serikali iliopo madarakani, vyama, NGO etc (merits na demerits) kila step hapo juu
 
Pia alisema NEC ilitangaza kuwa Lowassa alipata kura 6,000 Jimbo la Tunduma, wakati matokeo yao yanaonyesha alipata kura 32,442.
Chanzo: Mwananchi
Hii bila shaka itakuwa ni kubadilisha gia kwenye kina kirefu cha bahari-- haya matokeo ya Tunduma yametangazwa lini?!
 

kuna tuliokesha kumpigia mpiga push up sio mgonjwa wenu
 
Uloi nga mâché68;14484305 said:
jilaumuni ninyi wenyewe kwa kumfukuza DR SLAA na kula matapishi yenu!

Acha upumbavu kwani slaa ye ni nani Kwenye ukawa
 
Uloi nga mâché68;14484305 said:
jilaumuni ninyi wenyewe kwa kumfukuza DR SLAA na kula matapishi yenu!

Slaa angepigwa hadi jimboni kwake.
 
Hivi NEC wameshatangaza jombo la tunduma?
 
Mwaka huu damu lazima imwagike tena itaanza kwa mfano toka familia ya Mbowe lowassa Reginald mengi na ndesamburo wataanza kumwaga damu za familia zao kwanza
 

Tulieni Magufuli achukue nchi, maana wananchi tumeamua kumpa nchi atuongoze.
 
It was a big mistake to enter into this election without having a free National Electoral Commission.
Haya matatizo yote ni kwasababu hatuna tume huru ya Uchaguzi.
 
Pia atakapoapishwa Tinga Tinga asisahau kuwapa nafasi nyeti serikalini profesa Lipumba na dokta Slaa ziwe salam za hapa kazi tu kwa mbowe mbatia na lowassa na kwa maalim seif kuwa Tinga tinga ni Rais wa vyama vyote kama alivyokuwa akijinadi wakati wa kampeni
goli la mbali mita arubaini mafisadi watie akili ufisadi haulipi
 

Hatukukesha kwenye foleni kumpigia fisadi "low assa" kura....
 

Sio kosa kosa lako, ni kosa la wazazi kutokufundisha jinsi gani utafakari mambo, ama kukosa jino liitwalo (moral teeth). Usitegemee mtu kuingia kwa wizi wa kura then abadilishe lolote. Isipokuwa atawatumika waliomuwezesha kuwa mahali pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…