Nilicho jifunza siasa za tz. Watu wa nafuata mtu. Kinguge kaamua kumfuata aliye kuwa anamsapoti el na sio sera za chama.
Wamepotea nao na ahadi zao za webusaiti
Kweli wameshakubali kushindwa
Maana hata babu duni hajichoshi kuzunguka
ratiba inaonyesha leo babu duni angekuwa ruaha jimbo la mikumi
lakin hadi sasa hajatokea
Wananchi wamekasirika sana
Anawaponza wagombea wao wa ukawa wa huku
Naomba nichukue fursa hii kumtangaza mhe dkt john pombe magufuli
Kuwa rais wa awamu ya tano
Mnajifanya kujaribu propaganda lakini mnapost ujinga usioenda shule, hata mnachoandika ni ujinga na hamueleweki! Ukweli wa UKAWA hata wewe unaujua ndio maana unashinda kupost upuuzi, Yaani tar 25 mtalia na hamtakaa msahau! Maana mpaka hapa rais anajulikana wazi, CCM mwaka huu sijui mtapewa kura na Nani!Mnati huruma.
Hang Over hiyo jamaa yangu
Hebu tazama vizuri ulichokiandika halafu muangalie vizuri mgombea wako tehe. Huku kwetu wanasema kwa ccm wameenda kwenye fiester na kwa chadema na ukawa wameenda kusikiliza sela na kikubwa wameshaamua tayari wanasubiri siku tu ifike
Ukawa n genge la wahuni
Na wauaji