Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
Ili kupata "katiba ya watu iliyotoka kwa watu" kwa kimombo peples driven constitution UKAWA wako sahihi kabisa;Wasioweza kusoma alama za nyakati watashindwa.
Jiulize haya madai makubwa ya Tanganyika yametoka wapi?
Nijuavyo viongozi wa kiafrica wanaweza kudharau dalili hizi but wajue dalili ya malaria ni homa.
Madai ya Tanganyika haitakoma mpaka waipate; hii ni kwa sb madai ya Tanganyika ni madai ya ardhi yao.
Ardhi ndiyo!,kila siku madai ya Tanganyika itakuwa inaongezeka kadri ardhi nayo inavyokwisha na hapo ndio penye hatari kubwa ya Tanganyika kudaiwa kwa chuki.
Lazima madai ya Tanganyika itashinda tu kwa sb ni madai ya ardhi.
Mababu zetu wamelala hapa chini ya ardhi hii tukufu hivyo wanaokwamisha madai ya Tanganyika nikama wanamwaga mchanga kwenye ardhi iliolowa mafuta!.
Mamlaka ya Tanganyika na Zanzibar ndio msingi mkuu wa rasimu ya Tume.Rasimu inaweka mamlaka hizi dhahiri kabisa ili kila kitu kiwe wazi na hivyo kuimarisha muungano wetu.
Kuficha mamlaka ya Tanganyika katika kifuli ya mamlaka ya muungano ni hatari zaidi kwa sasa kuliko pale Baba wa taifa alipoamua mamlaka ya Tanganyika iwe chini ya mwavuli ya muungano hii ni kulingana na aina ya mifumo ya uchumi na wa kisiasa tunaoujenga.
Je umejiuliza kwa nini Zanzibar wanadai mafuta na gesi,sera za fedha,ushirikiano wa kimataifa etc itoke katika mambo ya muungano? ni kwasb ya ya mifumo ya uchumi na siasa.
Hatari nyingine ni kuwa kadri unavyopunguza mambo ya muungano ili kuondoa kero za muungano ndivyo unavyodhohofisha uwepo wa serikali mbili .
Kwahiyo endapo wazanzibar watapewa vyote wanavyodai na ndani ya mfumo wa serikali 2 ni kwamba muungano kwisha habari yake maana madai kama yale ya zanzibar yatahamia Tanganyika.
Na ni kimbunga!.KERO HIZO ZA MUUNGANO NDIO UNAFANYA MUUNGANO UWEPO NDANI YA MFUMO WA SERIKALI 2!.
Rasimu imeondoa kero zote na KUIMARISHA ZAIDI MUUNGANO WETU.
Nina wasihii wajumbe wa bunge la katiba waone hayo yaliombele na kukubali mfumo na msingi uliowekwa na rasimu hii kwa sb Tume wao wamefanya utafiti,walikuwa na wataalam pia wameona nyaraka muhimu.
Ni wajuavyo wale wajumbe wa bunge la katiba ni bendera fuata upepo na sidhani kama wanasoma na wana nyaraka zote kutoka tume ya katiba na wamefanya utafiti wa kutosha.
Mfumo wa serikali 2 wanopendekeza itaanguka sababu inapingwa.